Nia ilikua ni muendelezo wa kuonyesha mabaya ya ACACIA.Hapo ndipo mnanitatiza sana watz wenzangu,kama hujui jambo fanya utafiti kwanza ndio ulilete kwenye media. GGM HAIMILIKIWI NA ACACIA. NI UONGO KABISA KUSEMA HIVYO. GGM INAMILIKIWA NA ANGLO GOLD ASHANTI. ACACIA WANA MIGODI MITATU TU NCHI HII AMBAYO NI OPPERATIONAL, YAANI BULYANHULU GOLD MINE LTD,BUZWAGI GOLD MINE NA NORTH MARA. labda kama wameinunua GGM jana usiku,taarifa hizo hazijatufikia.NDUGU ZANGU TUACHE KUKURUPUKA KALE KASHERIA KAPO KANAFANYA KAZI. ANGALIA UTASHTAKIWA NA WENGI
Tukiacha ushabiki Wa kimihemuko na kutekeleza neno halisi LA UZALENDO na kuacha hili LA kinafiki uzalendo uchwara hiyo filamu sidhani kama itatusaidia katika mapambano ya kiuchumi na rasilimali zetu, Bali itatuonesha watu Wa hovyo.
Ukada na ukurupukaji Wa nami nionekane utatugarimu sana, maana wengi Wa wakurupukaji hawajui kwa undani Wa jambo. Niulize tu kwa kutaka kujua, Je, toka tamko LA Magwangala litoke utekelezaji wake umekuwaje? Na kama halijatekelezwa nini kimekwamisha? Je, kiusalama Wa mazingira na utunzaji hilo liliangaliwa?
Sijaijua maudhui ya ndani ya filamu hiyo, ila nachelea kuiunga mkono kwa maslahi ya nchi.
Nenda kwenye maudhui ya mtia uzi achana na mambo madogo madogo yasiyo na msingiWatanzania wengi ni majitu maongo maongo na mazushi.
Unauaminisha umma kuwa GGM inamilikiwa na ACACIA ?!!! una uhakika na hilo? ama lengo lako ni nini hasa?
Ndiyo maana Mkapa anawaita ni wapumbavu & malofa.
-Kaveli-
Naaaam mkuu!magwangala!
MALAIKA MTIIFU
Angrogold na ACASIA ni aina mpya ya makinikia?Correction:GGM inamilikiwa na Angrogold ashanti na si ACASIA!
Wewe ndo unauelewa mchezo kwa uhakika. Wengine tunyweni tu BalimiAibu yao unaitwa kwenda kuzindua usichokijua!!
Nini maana ya uwepo wa Maafisa usalama ktk kila maeneo yote?