Tukiacha ushabiki Wa kimihemuko na kutekeleza neno halisi LA UZALENDO na kuacha hili LA kinafiki uzalendo uchwara hiyo filamu sidhani kama itatusaidia katika mapambano ya kiuchumi na rasilimali zetu, Bali itatuonesha watu Wa hovyo.
Ukada na ukurupukaji Wa nami nionekane utatugarimu sana, maana wengi Wa wakurupukaji hawajui kwa undani Wa jambo. Niulize tu kwa kutaka kujua, Je, toka tamko LA Magwangala litoke utekelezaji wake umekuwaje? Na kama halijatekelezwa nini kimekwamisha? Je, kiusalama Wa mazingira na utunzaji hilo liliangaliwa?
Sijaijua maudhui ya ndani ya filamu hiyo, ila nachelea kuiunga mkono kwa maslahi ya nchi.