GEITA: Mkuu wa Mkoa amzuia Naibu Waziri kuzindua filamu ya 'Magwangala'

Habari tatanishi! Tuliambiwa ACACIA inamiliki migodi mitatu GGM, Bulyanhulu na North Mara sasa imebaki North Mara pekee basi kuna dalili hata zile kontena zikapungua kwa kasi ya supersonic kama wale wabunge wa kutenguliwa na kuteuliwa! (pia inawezekana hiyo "accacia" haimiliki mgodi wowote nchi hii!)
Accacia wanamiliki migodi mitatu mikubwa, kuna bulynyahulu, buzwagi haya ndo wanatumia technologia ya makinikia yaan mchanga wote unatoka kwenye hii migodi miwili, halafu wanamiliki North mara ambao unatumia technologia ya kawaida bila kutoa makinikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa na mipango fulani na ggm haiwezekani uzuie filamu tu hvhv na ggm hawataki kabisa kusikia neno magwangwala wakati mji wa geita unategemea sana magwangwala kama mojawapo ya kufanya mzunguko wa pesa kuwa mzuri
kun DOCUMENTARY ILITENGENEZWA Pale ukanda wa Gaza ilihusu watu waliohamishwa na serikali kupisha mgodi... iliishia kwenye kifo cha kawaida ili watu wasijifunze kutokana na makosa!
Ndivyo miungu watu walivyo, hawataki uchi wao ulio uchi uonekane!
 
Back
Top Bottom