Gazeti letu la Udaku JF..


Smile unataka kuleta ugomvi hapa
Lizzy sijui yuko wapi aje ajitetee hapa
 
Saint Ivuga ajiandaa kuumalizia mwaka Kanisani:
asema mabalaa yote yaliyomtokea ni kwa sababu ya kumweka Mungu pembeni.
Aapa kuacha ulevi, aanza harakati za kutafuta kimwana wa kuoa baada ya kukimbiwa na mke

TANMO aswekwa rumane ni baada ya kuanzisha danguro...machangudoa wasilmulia kilichokuwa kinaendelea humo ndani ya danguro..alikuwa anawamega kila siku asubuhi..wtano wakutwa na mimba za Tanmo..alikamatwa ndani ya basi akitoroka kuelekea somalia ..alikuwa amejifunga hijabu ...
 
Saint Ivuga ajiandaa kuumalizia mwaka Kanisani:
asema mabalaa yote yaliyomtokea ni kwa sababu ya kumweka Mungu pembeni.
Aapa kuacha ulevi, aanza harakati za kutafuta kimwana wa kuoa baada ya kukimbiwa na mke

TANMO aswekwa rumande ni baada ya kuanzisha danguro...machangudoa wasilmulia kilichokuwa kinaendelea humo ndani ya danguro..alikuwa anawamega kila siku asubuhi..wtano wakutwa na mimba za Tanmo..alikamatwa ndani ya basi akitoroka kuelekea somalia ..alikuwa amejifunga hijabu ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…