Gazeti letu la Udaku JF..

Mzimu wa WA KUSOMA wazidi kumuandama EXCELLENT wasema ni bora apewe ban ya maisha ila akirudi lazima imuangamize kabisa
 

jamani jamani wapendwa,

hii thread hii!!!! nimelazimika kuishia page ya 25 tu, nimezihurumia mbnavu zangu jamani.

yaani, AshaDii, kesi ya biblia imepelekwa kwenye maombi??? hahaha mie mtu akiniibia biblia namfurahi sana, namuachia na kujenga urafiki naye na nitakuwa namtembelea kila siku tunaijadili biblia tena kwa gharama zangu!!

yaani kwa thread hii ndoi nimegundua kuwa nilikuwa sijui maana ya neno udaku, ndo sasa nimejua

hahah

wapendwa wote mbarikiwe sana

glory to God!
 
sakata la kufunuliwa uso AshaDii: Maxence Melo kutoa tamko.
RussianRoulette na Invisible matumbo moto.
Gavana asema shariah lazima ichukue mkondo wake.
kauli yake yasababisha hofu kuu kutanda JF

...... itaendelea toleo lijalo

yabainika Gaijin ni nshomile!!
apigwa marufuku ku-log in JF na vitabu vyake,
maandamano makubwa yanaandaliwa huko kanyigo juma[pili hii baada ya supu ya asubuhi kupinga hatua hiyo

makubwa: kivazi kilichofagiliwa na Prince Chales chamuumbua Daughter.
chabainika kuwa cha "kichina"
serikali ya uingereza kutoa tamko.
yeye asema ni njama za uingereza kui-cameronise africa!

baada ya kunusurika kuvuliwa gamba: MAMAMIA sasa atafuta mchawi,
asema ikibidi atatoa hadharani majina ya wajumbe wenzake waliopiga kambi pamoja kwa mganga huko bagamoyo
King'asti ahsauri busara kutumika mambo yaishe kiutu uzima, nyepesinyepesi zinasema kaahidiwa ubunge wa viti maalum 2015

hahahaaaa
kumbe na mimi naweza!!

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God!
 
Ngoja wenyewe waje
andaa mask...

 
-Baada ya kukutana na mauza uza chumbani, Invisible akiri Ban zitammaliza, amwachia kazi PAW uk.6

-Saint Ivuga adai, mwendo kinyume na kawaida unamuumiza, aapa kuacha

-Kitabu cha Katavi sokoni, kina kurasa 2 na mada 50. Wengi wakigombea

- Timbwili la Waberoya: mambo hadharani,agombewa! DA na AD wazipiga

-Sakata la ukatibu kata: Mkandara adai Nyani ngabu anamloga, aonekana Bagamoyo

-Ndoa ya joka kuu matatani, mke adai kutelekezwa usiku. JF lawamani

-Mwanakijiji aula: Kuongoza tume ya kubaini uchawi, yumo Mag3 na Mwita Maranya

-Sakata la madawa UngaLTD: Lizzy mbaroni, wamo Nyumba kubwa na Miss Judith. The Boss kuwapa dhamana

HAPPY NEW YEAR 2012
 

Haahaha. . . kumbe ndio maana Invisible hatembezi ban mwenyewe siku hizi?
 
Atimae Kakakiiza amuoa Preta harusi yafanyaka qater hani muni yafanyika katika visiwa vya greenwich!!
 



hahahaha..... Ms J Mie hu wish ningekua sijalisoma nianze upya! Hivo nimekuonea wivu kweli kweli.....lol.....
 



Khaaa! Ngoja ni reserve comments zangu mpaka hilo toleo lijalo lije....

Yabainika PW ya Miss Judith imekua hacked; hivo haya si maneno yake.... Alo hack anatafutwa kwa ajili ya maombi.....lol
 
Khaaa! Ngoja ni reserve comments zangu mpaka hilo toleo lijalo lije....

Yabainika PW ya Miss Judith imekua hacked; hivo haya si maneno yake.... Alo hack anatafutwa kwa ajili ya maombi.....lol

1. baada ya maombi makali, yabainika AshaDii ndiye hacker maarufu wa passwords hapa jamvini.
ripoti kamili ya uchunguzi tayari ilishatua mezani kwa DCI manumba
msemaji wa familia yake malaria sugu ashindwa kujitokeza kufafanua hatua itakayochukuliwa na familia kwa vile bado anasumbuliwa na malaria!

2. breaking news: pikipiki ya babu DC yaishiwa mafuta tutani,
yasemekana alikuwa kabeba mshikaki!
yeye ang'aka eti ni wivu wa waswahili!

3. aspirin naye alalamika, ban inammalizia kitambi,
ni ile aliyojipiga mwenyewe!

nimeona niwatanie kidogo hawa mababu wa JF, haha

mbarikiwe sana wapendwa

happy new year!

Glory to God!
 
yabainika Gaijin ni nshomile!!
apigwa marufuku ku-log in JF na vitabu vyake,
maandamano makubwa yanaandaliwa huko kanyigo juma[pili hii baada ya supu ya asubuhi kupinga hatua hiyo

Hahaha Miss Judith umeuwa! hahahah

Lakini upo fitty vibaya sana, Shingongo angefaidi kupata reporter kaa wewe! :lol:
 
yabainika Gaijin ni nshomile!!
apigwa marufuku ku-log in JF na vitabu vyake,
maandamano makubwa yanaandaliwa huko kanyigo juma[pili hii baada ya supu ya asubuhi kupinga hatua hiyo

Hahaha Miss Judith umeuwa! hahahah

Lakini upo fitty vibaya sana, Shingongo angefaidi kupata reporter kaa wewe! :lol:

Inapendeza pale hawa wadada wanapokuwa pamoja wakitaniana..
Glory to God..!
Lol
 
Mamndenyi aanza likizo ili aende kuwauguza wana jf ambao
inaonyesha wengi wao (hasa akina dada) wameanza mwaka wakiwa wanaumwa.
 
Hahaha Miss Judith umeuwa! hahahah

Lakini upo fitty vibaya sana, Shingongo angefaidi kupata reporter kaa wewe! :lol:

hahahaaa asante mpendwa,

nilikuwa najaribu tu ila sio mtaalam wa udaku kivile!

niliona na pale pa kubarikiwa na kikombe cha babu wa loliondo, inachekesha sana kwa kweli.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
Inapendeza pale hawa wadada wanapokuwa pamoja wakitaniana..
Glory to God..!
Lol

hahaha,

ila sio siri TANMO, nimekukubali sana kwa ubunifu

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 

hahahahahahahahaha! dah! sijatembelea hili jukwaa mda mrefu.
 
maafa JF:
Ms na Rev. masanilo waswekwa gereza moja.
yadaiwa ni baada ya kupishana maneno mkesha wa mwaka mpya huku MS akilalamika kulishwa kitimoto na Rev.
 



Habari zimebaini DCI Manumba ana biffu na familia ya akina AshaDii. Shemeji wake ODM alimpitia mkewe (kumpitia vipi? HAIELEWEKI) hivo kaamua kupakaza tope kwa kumhusisha Malaria sugu.

Hii habari ilimfanya AshaDii afuatilie mwenyewe kwa kutumia JF intelligensia kujua hacker ni nani? aisee Kumbe ni Paka Jimmy!
 
Acheni hii thread ipumzike aisee, wengine tumechafuliwa CV beyond repair! lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…