hivi ile skendo ya kukopa nguo na viatu bila kulipa hadi ukaitiwa polisi uliimalizaje?? nakumbuka uliileta humu jamvimi muda fulani wakati ndio unajiungahahaaaaa nimecheka mpaka mbavu zinauma nyie watu nyie !....haya mauzo ya gazeti yanaanza lini?
sina kashfa za kuniunguza front page ya JF udaku
Wazo zuri saaana na mimi natangaza NIA kua mueka HAZINA ofcz we can't establish gazzete w/out FUND! c.v zote za uhazini ninazo am C.P.A holder.
My short profile as follows ; Nina miaka 75 , Nimeoa na ninamiliki wake wa3. Nina watoto 18 kati yao 12 wanasoma prvt schools.
Nnaishi nyumba ya kupanga nyumba yangu mwenyewe imekwamia kwenye renter baada cement kupanda bei.
Kwa sifa hizo nikipewa uhazini nitaifanya kazi hiyo vizuri sana, vote to me Judgement plz.
Tuonane kwanza ili uweke mazingira sawa niweze kukupa kura yangu.
Hili gazeti la udaku la jf likitoka haki ya mama shigongo hana chake.
Duh! Bonge la Kashfa!Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw
the finest afumwa gesti na faiza fox
nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin
YO YO amvalisha pete ya uchumba smile
ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa
asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee
rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani
malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake
the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini
lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu
afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga
fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas
bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake
mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni
dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya
mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia
invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi
aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga
nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu
Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement
KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA
nitaendelea badae
Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea