klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Habari nyengine ambayo imetua katika airport ya ofisi zetu alfajiri hii inapakuwa na kunyetisha kuwa yule rais wa wabeba maboksi anaetembea JF kwa jina la Nyani Ngabu amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuiba sadaka za nyumba za ibada, Rais huyo ambae hachagui kanisa wala msikiti yaani hubadilika kutokana na maslahi ameshikiliwa na polisi usiku wa juzi baada ya kukosana katika "mgawanyo" na kibaka mwenziwe anaekwenda kwa jina la Yo Yo, na bila hiana Yo Yo akaamua kumchoma mazima mwajiri wake huyo katika uporaji wa sadaka. Habari zaidi UK 7