Gazeti letu la Udaku JF..

Kibarua cha Sulpadoxine matatani..!! Bosi wake adai sulphadoxine ni mgonjwa na ameshatafuta daktar bingwa kutoka milembe..acheka pake yake ofisini..wahisi ni kichaa!! Amepatwa na nini....soma zaidi ukurasa wa 119..


Hizo kurasa sizipatii picha..!
halafu ni gazeti la kila siku, lol
 

imegundulika sijui nini anafanya kazi global publishers- wale wachapaji wa magazeti ya ijumaa, risasi, uwazi, etc.
 
Imegundulika: MTM na King'asti walianza kutumia Bhange tangu wakiwa na miaka nane, MTM alonga, King'asti amkimbia mwandishi wetu
 

Mkuu siyo fresh, umenifanya nicheke hadi nikalia, looooolz
 

Sijui nini aapa kutoka na mtoto wa kike wa The Boss ili kulipiza kisasi
 
Hahahaha!!! Mimi watu wamenipiga skendo tokea page ya kwanza hadi ya 12....na mimi sasa najibu skendo zao...lol

The Finest aibuka: adai alikuwa safarini, akutwa na Bandeji usoni, mwenyewe adai aliumizwa na inzi
 
Alafu umeandika kwa utani ila kweli mi nina sauti nzuri sana, hata madrass nilikua nachaguliwa mimi kusoma Kuran na kuimba kaswida siku wageni wanatutembelea. hahahaha

RusianRoulette athibitisha kuhamia kwenye Taarabu, ajisifia kuwa na sauti ya kumtoa Rev Masanilo mafichoni, ajitapa kuwa na nyimbo 50 ambazo hajazirekodi. Awataka mashabiki wake wakae mkao wa kula
 
bishanga abashaija amvalisha pete ya uchumba Eliza wa tegeta.

Bishanga Abashaija ajivunia ukidume wake: adai alianza mapenzi kabla hata hajazaliwa
 
King'asti amburuza mahakamani TanMo kwa kosa la kumchafulia jina
Adai faini ya $$ trillion 3, ama sivyo afanye kazi ya kumsomea PM zake kwa mwaka mzima

TANMO aula, apata dili la kusoma PM za King'asti kwa mwaka mzima, midume mikware yapata mshtuko
 
Bishanga Abashaija ajivunia ukidume wake: adai alianza mapenzi kabla hata hajazaliwa

Akiongea kwa kujiamini; adai alivyokuwa tumboni kwa mama yake alikuwa anaona kajicho kanamchungulia..... baada ya kumdadisi juu ya hilo jicho lililokuwa linamchungulia; aliipotezea kwa kudai ana miadi na mshuwa pale Kemps.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…