sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
mmmh..Sticky: Gazeti letu la Udaku JF..
Started by TANMO‎, Yesterday 10:36
Replies: 500
Views: 3,265
Today, 12:18
Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.
muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande nilioko.
Aliponifikia, akanikunja shati na kuanza kunipiga vibao, nikiwa katika hali ya mshangao, watu waliokuwepo kituoni wakamshika, ndipo alipoanza kuporomosha matusi "mwacheni nimshikishe adabu, anampeleka mume wangu kunywa pombe na kumtafutia wanawake".
Watu wakamkokota, na mi nikawa naondoka kiunyonge tena kwa aibu, nyuma nilisikia watu wakisema umemkomesha nguruwe akome.
Dah... Kumbe unaweza kusingiziwa hivihivi kwa makosa ambayo hujafanya.
Lakini tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo
Iiiiish...kumbe ishafika saa sita...mi nilijua bado asubuhi...tangu nimefika ofisini nikasema ngoja nisome some kidogo yaliyojiri leo kwenye haka ka gazeti ketu afu nianze kuchapa mzigo kumbe siku ndo ishaisha...??? Oh.. my...
- The Finest ang'angania jimama kwenye kiduku, lamkimbia, aangua kilio.
- Afrodenzi shanga zamponza, zakatika ukumbini mbele ya umati, amkimbia mwandishi wa JF!
- Rejao achezea kichapo, asoteshwa na vinega wa Chadema, atoa ulimi aweweseka!
- Husninyo amtoroka mumewe usiku wa manane! Aibukia Loliondo kwa babu
- Lizy ajifungua mapacha! Pacha mmoja afanana na Mwanakijiji mwingine afanana na Malaria Sugu, WanaJF wahoji!
- KakaKiiza amzimisha denti kwa katerero, atafutwa na polisi
- Washawasha agombaniwa na vimwana wa JF, akana kuwaPM, alog off
SuperMod anaswa akikwanga 8 za usiku
Usiku wa kuamkia leo SuperMod mmoja wa JF alinaswa na Wanamgambo wa JF akiperuzi PMs za wanaJF.
Akiwa kachnganyikiwa, macho mekundu, alisema haiwezekani yeye anaswe kwa vile haonekani. Kwa hasira,
Rejao alisikika akisema, "Kama huoneka pokea hicho" na kumtwanga kibao cha nguvu kilichomsababishia maumivu makali na kukiri kutenda kosa hilo.
Kesi imefunguliwa Jadala No. 00285/00811/JF/CRO, katika Mahakama ya Mwanzo ya JF, lakini gazeti hili lilipozungumza na Mwanasheria mmoja wa JF alisema,kwanza katika JamiiForums hakuna aliye juu ya sheria na kosa hili adhabu yake ama itakuwa ni BAN ya miaka mitano au faini ya kuwapandisha cheo wanaJF wote kuwa Premium Members. Kesi itasikilizwa tena mara tu pande zote mbili za mdai na mdaiwa kukamilisha ushahidi wao.
Fang imekua vipi unatoa Ban? au wewe ndio ulipatikana? hahahahaNews Alert: Tanmo has been banned for causing excessive injuries as a result of compulsive laughter to hundreds of JF Members and Visitors as a result of this Thread. More details of the ban will be brought back if no-one dies from the injuries.
Hii mwisho kabisa. Inaonekana Bujibuji alienda nyumba kubwa na rozari toka nyumba ndogo huku akjisahau kuwa yeye ni mvaa barakashea.Breaking News:Bujibuji achezea kichapo kutoka kwa mke wake baada ya kuingia nyumbani akiwa amevaa rozari na barakashea.
Mkuu nimeisha kamatwa ila asante kwa taarifa yako naomba nauende kwa mjumbe wetu mniandalie barua ya udhamini kesho ni 9/dec ntaozea mahabusu mpaka j3 kalabashi watafunga nisipokwenda!!Plssssssssssss
- The Finest ang'angania jimama kwenye kiduku, lamkimbia, aangua kilio.
- Afrodenzi shanga zamponza, zakatika ukumbini mbele ya umati, amkimbia mwandishi wa JF!
- Rejao achezea kichapo, asoteshwa na vinega wa Chadema, atoa ulimi aweweseka!
- Husninyo amtoroka mumewe usiku wa manane! Aibukia Loliondo kwa babu
- Lizy ajifungua mapacha! Pacha mmoja afanana na Mwanakijiji mwingine afanana na Malaria Sugu, WanaJF wahoji!
- KakaKiiza amzimisha denti kwa katerero, atafutwa na polisi
- Washawasha agombaniwa na vimwana wa JF, akana kuwaPM, alog off
Fang imekua vipi unatoa Ban? au wewe ndio ulipatikana? hahahaha
He hii ni thread ya kufungia mwaka duh nimecheka sana aisee