Nashangaza si kidogo, maana nilitegemea mtu yeyote mwene average commonsense kutambua kwamba maarifa hayawezi 'kuanza' au kuwa localized. Ndio maana tangia mwanzo nilishasema una utawaliwa na kuwaabudu waarabu na utamaduni wao(including usilamu) na ni vigumu kwako sana kuona point yangu. SIkutegemea kitu tofauti. Wakati waarabu wanaanzisha madrasa karne ya 8 kujifunza koran na hadith, =kwa karne kadhaa Wamisri, Wachina, Wahindi, Wagiriki kwa karne kadhaa walishafanya mambo makubwa tu,,lakini kwa kuwa hawakuwa wasilamu kwa mujibu wa Mkandara hii sio elimu,,very hilarious indeed.