Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.
Are muslims educable ? Najua mmefundishwa kuhifadhi/kukariri,mie nitaweza ? nilikuwa nakujibu maswali yako,kama hiyo haitoshi uliza ujibiwe,kwa bahati mbaya kwako nimeuishi Uislam kwa miaka 23, mwenzio nilikuwa kila ninachoambiwa nachanganya na yangu then naendelea kutafakari, hata mimi nilikuwa ZUZU juu ya YESU na UUNgu wake kama wewe. Isipokuwa niliamua kusoma na kuuliza maswali nika hitimisha YESU is all in all...Wengine ni utapeli tu. Endelea tuu nkuu wangu lakini nakushauri tafuta Elimu juu ya imani zote kwa uwazi na moyo safi hakika huwezi kufa ukiwa Mwislam. Uislam utadumu kwa kukaririsha na kupuuzi kweli zingine.Siku mashekhe wakifundisha kweli tupu na kuruhusu uhuru wa DINI,Uislam kwisney kwani wote wenye nia na uwezo wa kufikiri wataiona kweli nayo kweli itawaweka HURU.
Kweli itawaweka huru na pia kweli ndiyo Neno la Mungu(Habari njema ya ufalme wa Mungu)

Nafikiri Baraza la maadili kwa vyombo vya habari ndio jukumu lao hapo ili kuchuja na bila kusahau wizara husika na waziri husika wanatakiwa kuliona hilo,kwani unafikiri hawasomi sema tz bhana mpaka litokee la kutokea ndio tuanze kuchukua hatua.

Sina majibu yasiyo sahihi mkuu
Ami, Tuyaache ya dini kusema kweli maana ndio yametufanya tuwe na imani tofauti. Swala la Alnuur limezitoa nafsi zetu kuzungumzia vitu ambavyo ni very personal kwa sababu naamini kabisa kwamba sote hapa tumesoma na tumeelimika. La muhimu ni kuwa makini sana na magazeti kama haya kuyaweka ktk miijadala ya wazi kama hii kwa sababu inaweza kuzua machafuko na utengano zaidi. Kila napofungua JF siku hizi, ni habari za Waislaam hivi ama vile na aghalab kuwakuta Waislaam wakinukuu magazeti kuzungumzia Ukristu...
Amini unachoamini nami niache niamini nachoamini lakini tusisahau tu kwamba vita yetu sote ni kupinga Ukoloni na sii hoja uwe unafanywa na Muislaam au Mkristu, mweupe au mweusi..Tupambane na CCM kwa kila hali na sii kuzitazama kwanza tofauti zetu kwa sababu Alnuur walichoandika ni kuhusiana na utawala wa CCM ambao kwa ajabu ya Mungu unaongozwa na rais Muislaam.

Ami, Tuyaache ya dini kusema kweli maana ndio yametufanya tuwe na imani tofauti. Swala la Alnuur limezitoa nafsi zetu kuzungumzia vitu ambavyo ni very personal kwa sababu naamini kabisa kwamba sote hapa tumesoma na tumeelimika. La muhimu ni kuwa makini sana na magazeti kama haya kuyaweka ktk miijadala ya wazi kama hii kwa sababu inaweza kuzua machafuko na utengano zaidi. Kila napofungua JF siku hizi, ni habari za Waislaam hivi ama vile na aghalab kuwakuta Waislaam wakinukuu magazeti kuzungumzia Ukristu...
Amini unachoamini nami niache niamini nachoamini lakini tusisahau tu kwamba vita yetu sote ni kupinga Ukoloni na sii hoja uwe unafanywa na Muislaam au Mkristu, mweupe au mweusi..Tupambane na CCM kwa kila hali na sii kuzitazama kwanza tofauti zetu kwa sababu Alnuur walichoandika ni kuhusiana na utawala wa CCM ambao kwa ajabu ya Mungu unaongozwa na rais Muislaam...
Hapo kwenye red ndipo nilipohoji iweje wakristo ndo washtushwe na hilo? Je are they behind the move or ?

hapa ndipo napoichukia jamii forum na Cdm,yaani mmekaa kikatoliki tuuuuu na kukalia kutukana imani za watu,badala ya kutuletea mada za kutujenga katika harakati za ukombozi mnakaa na kutuletea mada za kutugawa watanzania kwa misingi ya udini! halafu CCM MAFISADI WAKISEMA NYIE CHADEMA NI WAKABILA NA WADINI MNAKATAA NA KUPINGA KWA MAGUVU YENU YOOOOOOOOOTE HALI HUKU JF mnauleta uuharo wenu wa kidini,shenzy zenu

Swali langu ni moja ninaomba waislam waliomo humu jamvini wanisaidie kujibu:
"JE, HILO GAZETI KWELI KWAMBA NI SAUTI YA WAISLAM?"

Swali langu ni moja ninaomba waislam waliomo humu jamvini wanisaidie kujibu:
"JE, HILO GAZETI KWELI KWAMBA NI SAUTI YA WAISLAM?"
Leo watakujibu, but kesho watakujibu zaidi-inshaallah

Hapo kwenye red ndipo nilipohoji iweje wakristo ndo washtushwe na hilo? Je are they behind the move or ?

Tupambane na CCM kwa kila hali na sii kuzitazama kwanza tofauti zetu kwa sababu Alnuur walichoandika ni kuhusiana na utawala wa CCM ambao kwa ajabu ya Mungu unaongozwa na rais Muislaam...

Mkuu hapo kwenye brown ukishadidia red inayofuata hapo juu na red yenyewe, kinafiki ikijifanya kusapoti red ya mwanzisha mada! Hila mara nyingi huwa hazijifichi wala tusitake kudanganyana hapa. An-Nuur wanaandika "waache (hao wasiopenda kumfia Mwenyezi Mungu wao) WABAKI NA SERIKALI YAO!

Hapo ndipo makosa na unafiki ulipo. Je, hii serikali ni ya kiislamu kaka? Eti unashangaa wakristo kushtushwa wakati hata rais ni mwislam! Kwa nini wasishtushwe? Au serikali kuwa na rais mwislamu haiwahusu wakristo? Rais kuwa mwislamu ndio imekuwa ya kiislamu hivyo wakristo hawahusiki? Ama nyie na gazeti lenu mna lenu jambo, sio bure!

annuur ni gazeti pekee ktk Tanzania kwa uchache lenye habari zinazoweza kuitwa sauti ya waislamu

mkuu hapo kwenye brown ukishadidia red inayofuata hapo juu na red yenyewe, kinafiki ikijifanya kusapoti red ya mwanzisha mada! Hila mara nyingi huwa hazijifichi wala tusitake kudanganyana hapa. An-nuur wanaandika "waache (hao wasiopenda kumfia mwenyezi mungu wao) wabaki na serikali yao!

Hapo ndipo makosa na unafiki ulipo. Je, hii serikali ni ya kiislamu kaka? Eti unashangaa wakristo kushtushwa wakati hata rais ni mwislam! Kwa nini wasishtushwe? Au serikali kuwa na rais mwislamu haiwahusu wakristo? Rais kuwa mwislamu ndio imekuwa ya kiislamu hivyo wakristo hawahusiki? Ama nyie na gazeti lenu mna lenu jambo, sio bure!

dudus, hoja ni kwamba mbali na waislamu kuna zaidi ya wakristo kwa vile wakristo hawajatajwa na mleta mada, sasa kama wakristo sio walengwa bali walengwa ni serikali ambao kuna zaidi ya wakristo na waislamu kwanini wakristo pekee ndo washtushwe na hilo? Are christian behind theis move?

Lakini ukweli ni kwamba dini si yenu, dini ya waarabu. Na kama wasingekuja kununua mababu zetu huku na kuwatia utumwani ndio ingekuwa ntolee. Lakini pia ni vema mkumbuke hii nchi si yenu nyie watumwa wa dini za wakoloni, sisi tusio na dini nasi tunasubiria tu vagi lianze na sisi tuvune chetu.

mwambie, tatizo mbishi anakokotwa tu. Mara ooh Ramadhani, wenzie uarabuni hawawezi kula mwaka mzima kule kwao jangwa so wameweka mwezi wa ramadhan ku balance vitabu. Afu majitu ya bongo ooh mimi islam, kwenda!

NDUGU ZANGU TUTUMIE HEKIMA ZAIDI KATIKA KUTOA MICHANGO YETU. MITANDAO KAMA HII ITAKUWA NA FAIDA KUBWA SANA KAMA TUTAKUWA TUNAJADILI MAMBO YATAKAYOTULETEA MAFANIKIO KATIKA TAIFA LETU. NDUGU ALIYETULETEA HABARI KUTOKA KATIKA GAZETI LA ANNUUR HAJATWAMBIA KICHWA CHA HABARI KILIVYO BADALA YAKE KATULETEA KIJIPANDE CHA HABARI HIYO. NAWASIKITIKIA WATANZANIA KWA KUTOKUWA NA UTAMADUNI WA KUJISOMEA, WENGI WETU HAWAFAHAMU HISTORIA YA MAPAMBANO YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA. MZEE BILALI REHANI WAIKELA NI MMOJA KATI YA TOP 5 YA WAASISI WA TANU MKOANI TABORA. ALIKUWA BEGA KWA BEGA NA WAPIGANIA UHURU WENGINE HADI MUINGEREZA ALIPOSALIMU AMRI 9 DESEMBA 1961. KINACHOMSIKITISHA MZEE WAIKELA NI KWAMBA, WAISLAMU NDO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO YA UHURU LAKINI WAMETENGWA NA SERIKALI KATIKA MAMBO MENGI SANA{HUU NI UKWELI AMBAO WATU WENGI WAKIUSIKIA HUWA WANAKUWA WAGUMU SANA KUUKUBALI, LAKINI WATAFITI HUUKUBALI KWA SABABU WAO HUSOMA NA KUPIMA KILE KILICHOTAFITIWA NA MWENZAKE KISHA HUUKUBALI UKWELI. LAKINI WALE AMBAO TAYARI MASIKIO YAO WAMEYAFUNGA NA HAWATAKI KUSIKIA ZURI LOLOTE LA UISLAMU, BASI WATU KAMA HAO HUJITIA UCHIZI WA KUKATAA UKWELI}. UKWELI UTABAKI PALEPALE KWAMBA WAISLAMU NDO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTAFUTA UHURU. KAMA WEWE UTABISHA UTAKUWA NI PEKE YAKO TU, KATIKA NUKUU NYINGI ZA MWALIMU NYERERE ZINAZORUSHWA KATIKA REDIO YA TAIFA, MWALIMU HUWA ANAELEZA UKWELI NAMNA WAISLAMU WALIVYOKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTAFUTA UHURU {REJEA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU ANANG'ATUKA MWAKA 1985}.

SIPENDI KUZUNGUMZIA HISIA, NAPENDA KUZUNGUMZIA MAMBO YA KISOMI ZAIDI. UTAFITI NI MUHIMU SANA KATIKA JAMBO LOLOTE, NDUGU YANGU KAMA WEWE  NI MTAFITI NAKUOMBA USOME VITABU VIFUATAVYO; 1.JUSTICE-RIGHTS&WORSHIP, RELIGION AND POLITICS IN TANZANIA By REDET. KINAPATIKANA PALE REDET OFISINI UDSM, 2. MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES, HISTORIA ILIYOFICHWA KUHUSU HARAKATI ZA WAISLAMU DHIDI YA UKOLONI WA WAINGEREZA KATIKA TANGANYIKA, BY MOHAMED SAID, KINAPATIKANA BOOKSHOP MBALIMBALI DSM HUSUSANI IBN HAZIM NJE YA MSIKITI WA MTORO DSM, 3. HISTORIA YA KUHUISHA UISLAMU TANZANIA 700-2009, BY IPC KINAPATIKANA SHULENI UBUNGO ISLAMIC NA KATIKA BOOKSHOP ZA KIISLAMU, 4. MUSLIMS AND THE STATE IN TANZANIA, BY Prof.HAMZA M. NJOZI, KINAPATIKANA KATIKA BOOKSHOP ZA KIISLAMU PIA CHUONI MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO, 5. THE PARTNERSHIP TANGANYIKA-ZANZIBAR UNION 30 TURBULENT YEARS, BY RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR MHE.ABOUD JUMBE, NINA MIAKA SIJAKIONA MADUKANI, LAKINI KIPO KATIKA MAKTABA ZA VYUO VIKUU NA PIA KWA WAHADHIRI WA HISTORY VYUO VIKUU.

WAISLAMU WA TANZANIA WANAISHI KTK HALI NGUMU KM ILIVYOKUWA KWA BLACK AMERICANS KULE USA. HAKUNA ALIYEWASIKILIZA, KILA WALIPOLALAMIKA WALIBEZWA, KUTENGWA NA HATA KUULIWA KWA WANAHARAKATI WAO KM MALCOM X NA WENGINEO. WALIONEKANA NI WAONGO KATIKA MADAO YAO, LAKINI LEO HAKUNA ANAYEBISHA KWAMBA WALIDHULUMIWA, KUBAGULIWA NA HADI KUUAWA KM WALIVYOULIWA WAISLAMU MWEMBECHAI MWAKA 1998 FEBRUARI, MASHEKHE WAMEWEKWA NDANI BILA SABABU ZA MSINGI HATIMAYE IKAWA NDO SABABU YA KUFA KWAO MFANO MDOGO NI SHEIKH KASSIM BIN JUMAA ALIYEKUWA IMAM WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DSM.

NI JAMBO LA HATARI SANA KM KUNDI MOJA KATIKA NCHI LINALALAMIKA LAKINI SERIKALI NA WATU WENGINE WANAWAPUUZA BILA HATA KUFANYA UTAFITI WA MALALAMIKO HAYO.

NUGU ZANGU NGOJA NIWAACHE MTAFUTE MAREJEO HAYO ILI MUWEZE KUJIONEA WENYEWE KISHA TUJADILI KITAALAMU BILA JAZBA.

Hilo gazeti na huyu mtoa hoja hapa mbona kama wote akili zao na kazi yao ni moja na zina fanana! Na je hayo matusi dhidi ya Mashekh yanayoporomoshwa hapa ndio yalikuwa lengo la kuweka hii habari hapa? kama ndivyo sasa mnawalaumu nini hao walioandika Al-Nuur wakati nyanyi mna akili sawa na za kigaidi tu!

hapa ndipo napoichukia jamii forum na Cdm,yaani mmekaa kikatoliki tuuuuu na kukalia kutukana imani za watu,badala ya kutuletea mada za kutujenga katika harakati za ukombozi mnakaa na kutuletea mada za kutugawa watanzania kwa misingi ya udini! halafu CCM MAFISADI WAKISEMA NYIE CHADEMA NI WAKABILA NA WADINI MNAKATAA NA KUPINGA KWA MAGUVU YENU YOOOOOOOOOTE HALI HUKU JF mnauleta uuharo wenu wa kidini,shenzy zenu
zilishaletwa mada nyingi tu za kutujenga katika harakati za ukombozi lakini ndiyo nyinyi waislam mliokuwa wa kwanza kuzipinga harakati hizo eti kwa sababu wakristu wanaona wivu raisi ni mwislam. wangapi hapa mlisema tutanuna tu ila sasa hivi ni zamu ya waislam? ni wengi hatuhitaji hata kurudi na kuangalia post zenu za nyuma maana ni aibu tu jinsi mlivyokuwa mnamtetea Kikwete na CCM yake......leo hii Kikwete kashindwa kuifadhili Kadhi yenu basi imekuwa tabu tupu!! Mimi nakubali kuwa wakristu walikuwa na advantage ya kusoma hapo mwanzo kabla na baada ya uhuru kwa sababu ya shule nyingi za mission lakini wa ndugu sasa hivi baada ya miaka 50 ya uhurui mimi naona kiasi fulani kuna level playing field ......kinachowaangusha waislam ni uchangamkiaji wa fursa zilizopo!

dudus, hoja ni kwamba mbali na waislamu kuna zaidi ya wakristo kwa vile wakristo hawajatajwa na mleta mada, sasa kama wakristo sio walengwa bali walengwa ni serikali ambao kuna zaidi ya wakristo na waislamu kwanini wakristo pekee ndo washtushwe na hilo? Are christian behind theis move?

Duh! Zinedine mbatizaji,
Umejuaje kama walioshtushwa ni wakristo peke yao na sio wapagani?!!!!! Au kazi yako ni kubatiza watu members wa JF?!!

mimi sijaelewa wanataka wajikusanye wafanye nini,labda ungetuweka wazi kidogo.Kama swala ni kumfia tu allah basi wanywe tu hata sumu wafe hamna anaewakataza au?

zilishaletwa mada nyingi tu za kutujenga katika harakati za ukombozi lakini ndiyo nyinyi waislam mliokuwa wa kwanza kuzipinga harakati hizo eti kwa sababu wakristu wanaona wivu raisi ni mwislam. wangapi hapa mlisema tutanuna tu ila sasa hivi ni zamu ya waislam? ni wengi hatuhitaji hata kurudi na kuangalia post zenu za nyuma maana ni aibu tu jinsi mlivyokuwa mnamtetea Kikwete na CCM yake......leo hii Kikwete kashindwa kuifadhili Kadhi yenu basi imekuwa tabu tupu!! Mimi nakubali kuwa wakristu walikuwa na advantage ya kusoma hapo mwanzo kabla na baada ya uhuru kwa sababu ya shule nyingi za mission lakini wa ndugu sasa hivi baada ya miaka 50 ya uhurui mimi naona kiasi fulani kuna level playing field ......kinachowaangusha waislam ni uchangamkiaji wa fursa zilizopo!
samahani lakini ulichoandika ni Ujinga mtupu mkuu wangu na nimekusoma mara nyingi hata tumewahi kuandikiana PM ukivaa ngozi ya kondoo..Haipendezi mkuu wangu kwa sababu hata mimi nikiyaandika yote yaliyokwisha andikwa JF huwezi hata kuamini.

Wewe Mkristu na mimi muislaam hatuna elimu yoyote sisi wote ni watumiaji wa elimu kama vile tunavyoletewa magari na kuyaendesha kisha kuwa na liseni pamoja na ujuzi wa kuyaendesha na kuyafanyia ukarabati ndio tunasema ni elimu..Elimu gani ya kuendesha gari?..tengeneza hilo gari! Hata sindano tu tunashindwa kuitengeneza isipokuwa kwa kutumia vifaa vya wazunguhalafu twajiona keki... Na zaidi ya hapo Wakristu hawana ukubwa wa fursa yoyote zaidi ya waislaam isipokuwa Ubinafsi mtupu, roho za kimaskini na kila mnavyojaribu kuibatiza Chadema ndivyo mnavyozidi kukiweka pabaya sana - Yaani kutokana na watu kama wewe, nashindwa kuendelea kukitetea chama hiki...That is the naked truth!

Hawa akili zao ni finyu wamekalia kadhi kadhi,yani mimi kodi yangu wapewe wao,hawa vichaa kweli,kazi zenyewe hawapendi kufanya wamekalia kunywa kahawa tuu na kucheza bao na kuoa wake wengi,shule hawapendi, kweli hawa.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom