Mkuu wangu unachoshindwa kuelewa ni kwamba mimi nayeamini Mungu mmoja ni mjinga na Mpumbavu hivyo inaeleweka, isipokuwa wewe unayeamini Yesu ni Mungu, msomi usiyekuwa na upumbavu ndio nataka unieleze ktk elimu yako hii kitu umeipata wapi?..Kitu mnachojaribu kuaminisha watu ni kwamba Waislaam ni wajinga hawakusoma lakini ujinga na upumbavu naousoma humu unanipa shaka zaidi na hizo elimu zenu.<br />
By the way, metaphysics ni sayansi tayari na naweza kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kisayansi - nitafute kwa muda wako!