Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.
Nalianzisha vagi -

Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.

Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

<br / Wewe naona hii mada ni kubwa sana kwako ni bora ukalale kama huna cha kufanya maana unaropoka tu kama uliyeamshwa toka uzingizini!

Ukishajua? nenda kaungane na wenzako kule igunga kupiga wakuu wa wilaya tena wanawake...
Igunga inahusiana nini na mimi na uzi huu? yaani wewe kweli una IQ ya pingirimavi..kila kitu unakitizama ktk miwani ya udini na CDM vs Magamba. Pole sana. Watu kama wewe na vizazi vyako ni sababu tosha kwanini nchi hii katu haitoendelea.

Nchi iendelee vipi viongozi wote na wataalamu wamesomea st. pingiri na seminary etc...

Allah ni neno la kiarabu maana yake ni Mungu kwa kiswahili... Labda wewe msomi nambie tofauti ya God na Mungu ni ipi?

Mzee ukikosea ukubali imani ni metaphysics kisayansi huwezi kuthibtisha kuwepo au kutowepo Mungu. Hapo maana yake ni nini usije ukafikiri unachoamini wewe ndo sahihi kwa sababu kisayansi huwezi kuthibtisha. Hivyo basi kuthibtisha kwamba huyo Mungu au Allah unayemuamini ndiye mungu na Yesu siyo Mungu.

Nchi iendelee vipi viongozi wote na wataalamu wamesomea st. pingirimavi na seminary.mavi etc...

Hilo tatizo likiisha nchi itaendelea vinginevyo tunajaza maji kwenye kinu..kuna padre moja mwizi wa wake za watu ndio kabisa ataturudisha miaka mia tano nyuma pole.

Wazazi wako wana hasara, si taifa peke yake.

Mzee ukikosea ukubali imani ni metaphysics kisayansi huwezi kuthibtisha kuwepo au kutowepo Mungu. Hapo maana yake ni nini usije ukafikiri unachoamini wewe ndo sahihi kwa sababu kisayansi huwezi kuthibtisha. Hivyo basi huyo Mungu au Allah unayemuamini ndiye mungu na Yesu siyo Mungu.
Mkuu wangu unachoshindwa kuelewa ni kwamba mimi nayeamini Mungu mmoja ni mjinga na Mpumbavu hivyo inaeleweka, isipokuwa wewe unayeamini Yesu ni Mungu, msomi usiyekuwa na upumbavu ndio nataka unieleze ktk elimu yako hii kitu umeipata wapi?..Kitu mnachojaribu kuaminisha watu ni kwamba Waislaam ni wajinga hawakusoma lakini ujinga na upumbavu naousoma humu unanipa shaka zaidi na hizo elimu zenu.
By the way, metaphysics ni sayansi tayari na naweza kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kisayansi - nitafute kwa muda wako!

Alnur wamesema ukweli inabidi tuwasifu na kuwapongeza, masheikh itikieni wito huo tuondoe dhulma, dharau ili haki itawale...

<br /
Muondoe dhulma na dharau ili haki itendeke! Haki gani hiyo? Haki ya kutenda vitendo vya kigaidi au ni haki gani nyingine unayoizungumzia? Tatizo kubwa la nyie watu kiasili ni watu wa vinyongo sana na siku zote huwa mnadhani hii dunia iliumbwa kwa ajili yenu hivyo mna haki ya kuitawala kisa mnahisi dini yenu ndiyo iliyo sahihi kuliko dini zote duniani! Acheni mawazo hayo jamani na kaeni mkijua mnachokitaka kwa hapa tanzania hamtokipata daima,mtabaki na mikelele yenu tu iliyokosa ustarabu wa utu na upendo ndani yake.SHAURI YENU!

Maneno makubwa sana hayo...hata mkoloni alisema uhuru hamtapata..lakini mwishowe aliachia mwenyewe

Haki itatawala mkuu hata kama huipendi? of course dini yetu ni ya kweli kabisa kupita hizo zingine no dought about that...hata papa anajua..

‘Jihad is ordained for you (Muslims) though you dislike it, and it may be that you dislike something which is good for you and that you like something which is bad for you. Allah knows but you do not know.’(Surat-al-Baqarah (2), ayah 216)

<br /
Na wewe pia hapa huna hoja za msingi hiyo mistari yako kawakusanye mabichwa maji wenzio hukooo mtaani kwenu wasiojua nini kimemaanishwa na nini hasa maana ya uislamu,kwanza nina mashaka na imani yako juu mwenyezi mungu!kwa hiyo waachie wanaojua nini maana ya uislamu!

Maneno makubwa sana hayo...hata mkoloni alisema uhuru hamtapata..lakini mwishowe aliachia mwenyewe

Haki itatawala mkuu hata kama huipendi? of course dini yetu ni ya kweli kabisa kupita hizo zingine no dought about that...hata papa anajua..

Lakini ukweli ni kwamba dini si yenu, dini ya waarabu. Na kama wasingekuja kununua mababu zetu huku na kuwatia utumwani ndio ingekuwa ntolee. Lakini pia ni vema mkumbuke hii nchi si yenu nyie watumwa wa dini za wakoloni, sisi tusio na dini nasi tunasubiria tu vagi lianze na sisi tuvune chetu.

Mimi nakuelewa sana na nimewasoma Alnuur kama ulivyowasoma wewe. Kinachonishinda kuelewa ni pale mnapowashambulia waislaam na Masheikh wao kwa sababu ya gazeti hili. Kwa mfano mtoa mada hii hakueleza mwanzo wa makala hii ila kachagua baadhi ya ujumbe kuonyesha ubaya wa Uislaam jambo ambalo naweza kabisa kuchambua hotuba za viongozi wa Kikristu, CDM au CUF na nikaziweka kama ni uchochezi. Na zaidi ya hapo gazeti hili halimilikiwi na taasisi yoyote ya kiislaam isipokuwa kundi la watu ambao naweza kusema ni wapambe wa CUF na kwa kutumia dini yao wanachukua jukumu la Kiroho kupingana na utawala dhalimu. Na hakika ukisoma maelezo yaliyotangulia hapo juu hayana tofauti kabisa na hilo gazeti la Alnuur kwa jinsi mnavyoushambulia Uislaam...Hivyo makosa mawili hayawezi kutupa jibu SAWA..

Ni muhimu kwenu nyie kuwasikiliza badala ya kuwapuuza kwa sababu yasemwayo yapo na yanaendelea kufanyika. Unaposhindwa kuamini kuwepo kwa matatizo haya ndiko kulikoizamisha hata meli ya Spice Island na wakafa watu wasiokuwa na hatia kabisa..Licha ya hivyo our enemy ni mmoja na sioni tofauti kabisa baina ya mtu anayekwambia mkeo anatembea na rafiki yako na yule anayekwambia twende tukamfanyie rafiki yako anayetembea na Mkeo. Ujumbe ni mmoja kukutaarifu nani mkosa wako sasa ni jukumu lako wewe kufanya maamuzi yenye busara.

Jambo moja nalopinga mimi siku zote ni hizi taasisi za kidini kuingilia maswala ya siasa lakini Alnuur sio taasisi wala gazeti la chombo chochote cha Waislaam hivyo kuwashambulia waislaam na uongozi wake wa kidini ni propaganda zenu Makristo dhidi ya Uislaam kama mlivyofundishwa kuukana Uislaam.

Hao Alnuur hawakuanza jana wapo miaka kibao na tunawasoma kama tunavyoyasoma magazeti mengine yakiutukana Uislaam na hata chama cha Chadema kiasi kwamba leo hii inaaminika CUF ni chama cha Waislaam. Zote hizi ni propaganda na mnapozidi kuonyesha chuki yenu dhidi ya Waislaam kwa sababu nyie ni Wakristu na wanaChadema ndivyo mnavyodhihirisha Ukristu wenu sambamba na Uchadema. Majibu yenu hapa JF yanaonyesha wazi tatizo lipo na tusilidharau kwa sababu kuwaita waislaam wajinga wapumbavu na kutumia mifano ya maisha ya watu ktk nchi za kiislaam inaonyesha dhahiri jinsi mlivyokuwa na chuki kubwa kwa Uislaam na wala sii hili gazeti la Alnuur. Hii ni sababu tu ya kufungua hasira zenu dhidi ya Uislaam.

Hata hivyo wanayoyafanya waislaam huko Misri, Yemen, Libya, Syria, Afghanstan na kadhalika nyie hamna ubavu wa kufanya hivyo kwa sababu ktk Uislaam dini sio jina la mtu au uzaliwa wake bali ni matendo. Kama wewe unawadhalilisha wananchi wako inakuondoa ktk Uislaam na wananchi wana haki ya kukuondoa madarakani hata kama wewe umezaliwa Muislaam

Ona sasa umerudia kuwaita Wakristo Makristo. Hiyo ni dalili ya kwamba kuna kitu ndani kabisa moyoni mwako kinachokukereketa dhidi ya Wakristo. Hiyo si daliili njema. Hata hivyo, matatizo mengi ya msingi ya kipaumbele kwa Waislamu yanafanana sana na matatizo ya Wakristo, na hata wasio na dini. Sidhani kama mimi binafsi nimewashambulia mashehe au viongozi wowote wa kiislamu. Imetokea tu kwamba waandishi wa hili gazeti ni waislam lakini mimi nimeishi na waislam sehemu mbalimbali hapa nchini na ninafahamu kuwa hawa wa design ya an-nuur hawawezi kuwa wasemaji au wawakilishi wa mainstream uislam hapa nchini.

Lakini suala la kuhusisha siasa za chadema na ukristo, au cuf na uislam wote si tunafahamu kwamba ni devilish propaganda za ccm? Kwa nini umekuwa mwepesi sana kuhusisha suala la an-nuur na chadema? Wewe kama msomi hivi huwezi kukaa chini na kuweza kufanya analysis ya mambo ya dini na siasa hapa nchini na kuweza kupambanua pumba na mchele kweli?

Kuhusu kuushambulia Uislam, Mashehe, etc., wakati mwingine sisi watu lazima tuvuke vikwazo vya utoto na tuondokane na hisia za kujihisi tumetukanwa au kudhalilishwa mtu anaposema vibaya dini zetu. Dini tumezikuta hapa duniani na tutakufa tutaziacha. Wewe ishi maisha yako hapa duniani kwa haki. Kama wewe ni mtu wa dini na akatokea mtu akatukana dini yako mpuuze. Akinyoosha mkono wako kukudhuru hapo ndo linapokuwa tatizo. Kweli, tuhimizane kuishi kistaarabu kila mtu dini yake, na kama inabidi kuhubiriana, basi kwa ushawishi wa hoja na kwa upole.

Hao wanaoandika gazeti la al nuur sawa na watanzania wengine ambao tunabweka kila siku ya mungu kama mavuvuzela ya kichina halafu ukija kwenye utekelezaji hapo ndipo utagundua nini aanze, si unajua siku hizi serikali ya magamba ameshaliambia jeshi la polisi kuwa anayebwabwa na kupepeta waachane naye ila anayejaribu kwa vitendo achapwe risasi ili wengine tukiona tuogope, mi nitashangaa sana kama mtaendelea kuwahofia hao jamaa. Hata siku moja sijawahi kusikia taleban wanasema wanaenda kushambulia sehemu fulani, ila baada ya kushambulia ndipo utawasikia wakisema wao ndio wahusika wa shambulio

Lakini ukweli ni kwamba dini si yenu, dini ya waarabu. Na kama wasingekuja kununua mababu zetu huku na kuwatia utumwani ndio ingekuwa ntolee. Lakini pia ni vema mkumbuke hii nchi si yenu nyie watumwa wa dini za wakoloni, sisi tusio na dini nasi tunasubiria tu vagi lianze na sisi tuvune chetu.
Mkuu wangu sasa hapa ndipo unapopotea kwa sababu hata elimu dunia imeanza kwa waarabu.. Hawa waarabu walikuwa na University kabla hata ya Uingereza. Je, unataka kutuambia tusiende shule kwa sababu elimu hii ilianza kwa waarabu?

Lakini ukweli ni kwamba dini si yenu, dini ya waarabu. Na kama wasingekuja kununua mababu zetu huku na kuwatia utumwani ndio ingekuwa ntolee. Lakini pia ni vema mkumbuke hii nchi si yenu nyie watumwa wa dini za wakoloni, sisi tusio na dini nasi tunasubiria tu vagi lianze na sisi tuvune chetu.

kalagabao

Ona sasa umerudia kuwaita Wakristo Makristo. Hiyo ni dalili ya kwamba kuna kitu ndani kabisa moyoni mwako kinachokukereketa dhidi ya Wakristo. Hiyo si daliili njema. Hata hivyo, matatizo mengi ya msingi ya kipaumbele kwa Waislamu yanafanana sana na matatizo ya Wakristo, na hata wasio na dini. Sidhani kama mimi binafsi nimewashambulia mashehe au viongozi wowote wa kiislamu. Imetokea tu kwamba waandishi wa hili gazeti ni waislam lakini mimi nimeishi na waislam sehemu mbalimbali hapa nchini na ninafahamu kuwa hawa wa design ya an-nuur hawawezi kuwa wasemaji au wawakilishi wa mainstream uislam hapa nchini.

Lakini suala la kuhusisha siasa za chadema na ukristo, au cuf na uislam wote si tunafahamu kwamba ni devilish propaganda za ccm? Kwa nini umekuwa mwepesi sana kuhusisha suala la an-nuur na chadema? Wewe kama msomi hivi huwezi kukaa chini na kuweza kufanya analysis ya mambo ya dini na siasa hapa nchini na kuweza kupambanua pumba na mchele kweli?

Kuhusu kuushambulia Uislam, Mashehe, etc., wakati mwingine sisi watu lazima tuvuke vikwazo vya utoto na tuondokane na hisia za kujihisi tumetukanwa au kudhalilishwa mtu anaposema vibaya dini zetu. Dini tumezikuta hapa duniani na tutakufa tutaziacha. Wewe ishi maisha yako hapa duniani kwa haki. Kama wewe ni mtu wa dini na akatokea mtu akatukana dini yako mpuuze. Akinyoosha mkono wako kukudhuru hapo ndo linapokuwa tatizo. Kweli, tuhimizane kuishi kistaarabu kila mtu dini yake, na kama inabidi kuhubiriana, basi kwa ushawishi wa hoja na kwa upole.

Huna lolote zaidi ya unafiki umeishi na waislamu kinafiki kinafiki tu...nothing more that...

Gazeti la annur kuandika habari za kiislamu na kuhamasisha waumini wake kuondoa dhulma na kusimamia haki kwa njia zote what is wrong with that?

Linahitaji kupongezwa zaidi ....au wewe huelewi tafsiri ya maneno ya mwandishi unaweka chumvi ili kuonyesha uanfiki na chuki zako ulizopalilia katika mikutano yenu ya jumuia..hamfiki popote..

Ona sasa umerudia kuwaita Wakristo Makristo. Hiyo ni dalili ya kwamba kuna kitu ndani kabisa moyoni mwako kinachokukereketa dhidi ya Wakristo. Hiyo si daliili njema. Hata hivyo, matatizo mengi ya msingi ya kipaumbele kwa Waislamu yanafanana sana na matatizo ya Wakristo, na hata wasio na dini. Sidhani kama mimi binafsi nimewashambulia mashehe au viongozi wowote wa kiislamu. Imetokea tu kwamba waandishi wa hili gazeti ni waislam lakini mimi nimeishi na waislam sehemu mbalimbali hapa nchini na ninafahamu kuwa hawa wa design ya an-nuur hawawezi kuwa wasemaji au wawakilishi wa mainstream uislam hapa nchini.

Lakini suala la kuhusisha siasa za chadema na ukristo, au cuf na uislam wote si tunafahamu kwamba ni devilish propaganda za ccm? Kwa nini umekuwa mwepesi sana kuhusisha suala la an-nuur na chadema? Wewe kama msomi hivi huwezi kukaa chini na kuweza kufanya analysis ya mambo ya dini na siasa hapa nchini na kuweza kupambanua pumba na mchele kweli?

Kuhusu kuushambulia Uislam, Mashehe, etc., wakati mwingine sisi watu lazima tuvuke vikwazo vya utoto na tuondokane na hisia za kujihisi tumetukanwa au kudhalilishwa mtu anaposema vibaya dini zetu. Dini tumezikuta hapa duniani na tutakufa tutaziacha. Wewe ishi maisha yako hapa duniani kwa haki. Kama wewe ni mtu wa dini na akatokea mtu akatukana dini yako mpuuze. Akinyoosha mkono wako kukudhuru hapo ndo linapokuwa tatizo. Kweli, tuhimizane kuishi kistaarabu kila mtu dini yake, na kama inabidi kuhubiriana, basi kwa ushawishi wa hoja na kwa upole.
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba mimi naandika haya baada ya kuyasoma hapa JF, hayakutoka kwangu! -Exploration of reality!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom