Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

Sheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitano
Soma pia namna gani anaondoka madarakani usijifungie bila kusoma
 
Benki Kuu, ndiyo taasisi inayoitegemewa kuandaa monetary and fiscal policies za nchi yoyote ,
-kwenye mtikisiko wa uchumi duniani uliosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine
- Gavana Ni vema akawa mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha ili aweze kuongea lugha moja na mataifa na taasisi zingine za fedha na uchumi duniani kwenye masuala ya micro na macro economic policies .
-Mamlaka ya uteuzi inawezekana imezingia sifa hizo
-Siku za hivi karibuni Mamlaka za uteuzi zimekuwa zikiteua Gavana wa Benki Kuu kisiasa au kwa mtizamo kuwa ile Ni nafasi ya uongozi, siyo lazima awe mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha,atasaidiwa na watalaam wa chini yake.
-Kama Gavana ni slow learner huwa kunakuwa na ombwe la kiutendaji kati ya Wasaidizi wake na Gavana.
-Kila la Heri Gavana mpya na kila Heri Gavana mstaafu,kuna maisha baada ya kustaafu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hii SHALL haijatendewa Haki; lakini pia NI wakati SASA barua za ikulu ziwe na Sheria inayotoa mamlaka
UMRI wa UTUMISHI wa UMMA wa kustaafu ni MIAKA MINGAPI kwa kazi zote zisizofungamana na SIASA au Kuchaguliwa na Wananchi ni MIAKA mingapi? Sambamba na hilo unajua Miaka ya kustaafu ni 60?? Ziada ya hapo kwa mtumishi ni ile ofisi nyeti na umri hautakiwi kuzidi 65 unajua hili?
REJEA CDF (RTD) MABEYO.
 
Kateuliwa nani

Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BOT

Wasifu wa Gavana / Governor Emmanuel M. Tutuba / Biography / CV :

2019
Assistant Commissioner for Budget
- Expenditure tracking and performance monitoring (Ministry of Finance and Planning)
  • 1999-2001 : masters of business administration in corporate management MBA Corp MGT Mzumbe
  • 1996-1999 : advanced Diploma in Economic Planning- ADEP (IDM Mzumbe)
  • 1992-1994 : Advanced Secondary Education - Milambo secondary school
Source : www.parliament.go.ke files : Report of the Auditor - General on African Institute for Capacity Development AICAD - Office of the Auditor General

03 February 2020

Katibu Tawala wa mkoa RAS
  • Rais John Magufuli amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza leo tarehe 3 February 2020 Ikulu ya Dar es Salaam

Mjumbe wa Bodi ya REA

  • Mr. Emmanuel Mpawe Tutuba - Rural Energy Board Director Rural Electrification Authority REA
Kamishna Tume ya Madini
  • Emmanuel M. Tutuba commissioner Mining Commission
Katibu Mkuu wizara ya fedha
  • Rais Samia Hassan leo tarehe 6 April 2021 amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango
source : afdbgroup Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania 19 July 2022

Gavana wa Benki Kuu BOT
  • Leo tarehe 7 January 2023 Rais Samia Hassan amteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BOT
 
Sheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitano

ACT SUPPLEMENT
to the Special Gazette of the United Republic of Tanzania No. 3 Vol. 87 dated 8th June, 2006
Printed by the Government Printer, Dar es Salaam, by Order of the Government:

8.–(1) There shall be appointed by the President a Governor who
shall, unless he dies or resigns or vacates or is removed from his office
for good cause or is disqualified, hold office for a period of five years and
shall be eligible for a re-appointment.

(2) No person shall qualify to be appointed as a Governor unless he–
(a) holds a university degree;
(b) has not less than fifteen years experience in the fields of economics,
banking, accountancy or finance or law;
(c) has been in senior managerial positions in the government
departments or institutions, private institutions or international
organizations; and
(d) has not been appointed and served as the Governor for two
Consecutive term.

(3) There shall be appointed by the President three Deputy Governors
who shall, unless one dies, resigns, vacates or is removed from office for
good cause or is disqualified, hold office for a period of five years and be
eligible for re-appointment for a further term of five years only.

(4) The appointment of the Deputy Governors shall be made on the
basis that at least one of the appointees hails from either side of the ....
 
Umeshaambiwa amemaliza muda wake
23 Oct 2017Rais John Magufuli amteua Prof Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

Prof. Florens Luoga ndiye mteule mpya wa rais Magufuli kuchukua nafasi ya ugavana wa Benki Kuu ya Tanzania 'BOT' pindi muda wa gavana wa sasa, Prof. Benno Ndulu utakapokwisha.
Rais Dk. John Magufuli amemteua Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Taaluma) Prof. Frolens Dominic Andrew Makinyika Luoga (Pichani), kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuchukua nafasi ya Prof. Benno Ndulu ambaye anamaliza muda wake.

Rais Magufuli ametangaza uteuzi huu leo 23 Oktoba 23, 2017 katika hafla ya kuwatunuku vyeti vya shukurani na pongezi wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi wa aina, kiwango na thamani ya madini yaliyokuwemo katika makinikia, iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo Rais Magufuli amewatunuku vyeti wajumbe wote 28 wa kamati hizo kwa kutambua mchango mkubwa wa kila mmoja wao katika uchunguzi na majadiliano kuhusu rasilimali za madini na matokeo ya kazi yao ambayo yameiletea nchi na Serikali faida na heshima kubwa.

“Uzalendo wako, jitihada zako binafsi na ushirikiano wako kwa wajumbe wa kamati katika kupigania maslahi makubwa ya nchi yetu ni jambo la kupigiwa mfano na litakaloenziwa daima.

“Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi wa Tanzania na mimi binafsi, nakushukuru na kukupongeza sana” imenukuliwa sehemu ya shukurani na pongezi hizo za Rais Magufuli.

Until October 2017, Professor Luoga was an active staff member of the School of Law also serving as the Deputy Vice Chancellor-Academic, University of Dar es Salaam. This changed on 23rd October 2017, when the President of Tanzania, Dr John Magufuli, appointed him as the Governor of the Bank of Tanzania (Tanzania’s central bank), a position he is still serving to date. Details of the Bank of Tanzania, and what Professor Luoga does may be found at Bank of Tanzania

Prof. Luoga assuming office 8 January 2018. Appointed by, John Magufuli.....​

Prof Florens Luoga officially assumes office as new Governor for Bank of Tanzania​

Tanzania’s new central bank governor, Prof Florens Luoga, officially assumed the position on Monday, 22 January 2018 — promising to work steadfastly in addressing challenges in the banking sector.

Previously the deputy vice-chancellor of the University of Dar es Salaam, Prof Luoga said his first act as the new Governor would be to meet with various central bank stakeholders within and outside the country.

Prof Luoga assumes the position of Governor following the retirement of Prof Benno Ndulu after a 10-year tenure. He was also appointed by President John Magufuli as chairman of the board of directors of the Tanzania Revenue Authority (TRA).

Having recently launched their Second National Financial Inclusion Framework for the period of 2018 – 2022, Bank of Tanzania (BoT) is an active member of the AFI network since 2 February, 2010 and participates in AFI’s capacity building programs and Working Group meetings.
 
Sheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitano
Sasa kwanini asiteuliwe tuu kwa miaka 10 kama ni lazima?!
 
CV ya Tutuba

Imekuwa ngumu kupatikana hata masoko ya wawekezaji ktk miji ya masoko ya mitaji na wawekezaji wakubwa maarufu kama "$1 Trillion Club" ya New York City, Tokyo, Madrid, Shanghai, Shenzhen, Rome n.k Usiku kucha wamehaha kumfahamu huyu gavana mpya amesoma vyuo gani, utumishi wake mashirika makubwa ya kimataifa au kikanda au chuo kikuu gani alikuwa mwalimu n.k ili wapate kumjua vizuri imeshindikana.

Tumaini lao hao wawekezaji wenye mikoba ya fedha za uwekezaji Wamebakiza sehemu tegemeo ni hapa JamiiForums labda watapata fununu umahiri na uchapakazi wake utawekwa hapa kuhusu masuala ya utawala wa fedha n.k ...
 
Jamaa amekaa TISS TISS maana Usiri mwingi....

Kwa sasa CIA wako busy kufukunyua ili wamjue
 
Sheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitano
Maana ya be eligible for reappointment ni kama umri hautazidi 65, huyu aliteuliwa at 60, sasa ni 65 hivyo he is not eligible for reappointment!.
P
 
Back
Top Bottom