Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,616
Thanks for this.Gavana umri wake kisheria usizidi miaka 65, pia anakaa madarakani kwa muda wa miaka 5 anaweza ongezewa muda wa miaka 5 mingine na haruhusiwi kuzidi hapo.
Na tar rasmi ya wao kuondoka kazini ni TAR 07/01
BALALI alikaa miaka 10 (08/0/1998 - 07/01/2008)
BENO NDULU alikaa miaka 10
(08/01/2008 - 07/01/2018)
PROF LUOGA amekaa miaka 5
(08/01/2018 - 07/01/2023)
Hii ni kutokana wakati anateuliwa UMRI WAKE ULIKUWA MIAKA 60 na hivyo haruhusiwi kuzidi miaka 65 KISHERIA
Labda awe umri wake wakati anateuliwa ulikuwa umesogea kiasi kwamba ataweza kumalizia muda akiwa amezidi miaka kadhaa. Na hii hutokea kama ni kwa awamu ya pili ya Uongozi wake.
NB. GAVANA HARUHUSIWI KUZIDI VIPINDI VIWILI VYA MIHULA YA MIAKA 5 KILA MMOJA.
GAVANA UMRI WAKE WA KUSTAAFU NI MIAKA 65 LABDA KWA DHARULA SANA KAMA ILIVYOTOKEA KWA BENO NDULU.
P