Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,317
- 139,034
- Thread starter
- #161
Mnawaonea bure TRA,kuna mizuka ipo nyuma yao
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Kidata ni muoga sana na hana confidence. angalia mara nyingi anapokua mbele ya camera huwa anatetemeka sana utafikiri kashikiwa mtutu wa bunduki!Tulilia maridhiano kati ya wabunge wa ukawa na NS ya taifa...watu wakasema NS aendelee kuwanyoodha...naamini Kabisa ukawa wangekuwepo bungeni hii kitu ingeangaliwa kwa jicho la tatu Na huu mkanganyiko usingekuwepo...kila kitu kingewekwa sawa huko huko bungeni...ninachoshangaa zaidi ni pale commissioner Mkuu TRA mishipa ya shingo inamtoka akiongea kitu ambacho anajua kabisa sio sahihi...ila Jana nilipomuona akiongelea hili jambo nilihisi kitu kwani kichwa Na mdomo vilikiwa havina ushirikiano...Sijui aliambiwa tu nenda ukaseme hivi..
tafutia buku 7 thread zingine,hii inaboaSiamini habari hii..
uzuri wa JPM,akigundua waziri/kiongozi haendani na kasi yake lazima atumbuliwe....nimejiuliza sana...tena nimejiuliza kweli ...na nikajiuliza sana......na kwa masikitiko makubwa nikajiuliza.....hivi ina maana waziri mpango hajui jambo rahisi kama hili kuhusu VAT?
Zamani walikuwa hawatozwi na walikuwa wanatukata.. Basi wangeacha kukata.. Au wanataka walipe na zile zote za nyum?
upo deep mkuu nilitaka tusaidiane kushangaa tu,tofauti inaonekana.siamini kama TRA ndio wanaotaka benk ilipe vat,kuna mtu wanamsemea.
haaah haah mimi nilimtunzia siriKidata ni muoga sana na hana confidence. angalia mara nyingi anapokua mbele ya camera huwa anatetemeka sana utafikiri kashikiwa mtutu wa bunduki!
Baada ya kupitia maoni ya wajuvi wa mambo humu kuhusu mambo ya kodi,nimejiridhisha kuwa Dr mpango ni very hopelless
Hapa ilitakiwa serkall iseme makato yanayofanywa na benki ni makubwa
Mfano kama ni tshs 1000
Basi kuanzia julaii makato yabaki ni 1000 na katika hiyo 750 iende bank na 250 iwe kusanyo la kodi.
Hapo bado anayelipa kodi bado ataendelea kuwa mlaji na faida kubwa ambayo benk ingepata itapungua
Hahahahaha jana nilijua tunaingizwa chaka na T. R. A
Tangu lini V. A. T akalipa mfanya biashara. V. A. T ni consumption tax.
Nchi ya miujiza hiii. Tangu lini kuwe na double standards kwamba bank ndo zilipe VAT ila biashara zingine mteja ndo alipishwe.
Yani tumefikia pabaya sana kama taasisi kubwa hivi za kuaminika zinapishana kauli hadharani.

Kukariri kubaya.Acha kukariri VAT ni value added tax ni wapi imeandika ni lazima ilipwe na mwananchiHahahahaha jana nilijua tunaingizwa chaka na T. R. A
Tangu lini V. A. T akalipa mfanya biashara. V. A. T ni consumption tax.
Nchi ya miujiza hiii. Tangu lini kuwe na double standards kwamba bank ndo zilipe VAT ila biashara zingine mteja ndo alipishwe.
Yani tumefikia pabaya sana kama taasisi kubwa hivi za kuaminika zinapishana kauli hadharani.
Hivi hii serikali nilini watakuwa na utaratibu wa kujipanga na kutoka na neno moja kwa raia wake?Gazeti la Mwananchi: Wakati TRA ikiitaka BOT izichukulie hatua bank zilizotangaza kuongeza gharama za huduma za kibenk, BOT imesema mabenki yapo sawa!
Prof.Ndulu anasema mabenk watakuwa mawakala wa TRA tu katika kukusanya VAT lakini si walipaji,kwa hiyo hawezi kuwachukulia hatua.
Beno Ndulu ametolea mfano unapokua unauza duka unakuwa wakala tu wa TRA na sio mlipaji.....KUMEKUCHA
View attachment 362128
Bongo kazi kweli yale makato walikua wanakata wananchi mabenki yalikuwa makusanyo yao au ilikuwa faida yao?
Ndullu alirakiwa alieleze kama ni sahihi benki zilikua zinakata hela uwakala wa ukusanyaji ulikuwa unafanywa na nani
Nashangaa jambo hili watu kutofautiana, Ndulu yuko sahihi maana VAT always rest to final consumerHahahahaha jana nilijua tunaingizwa chaka na T. R. A
Tangu lini V. A. T akalipa mfanya biashara. V. A. T ni consumption tax.
Nchi ya miujiza hiii. Tangu lini kuwe na double standards kwamba bank ndo zilipe VAT ila biashara zingine mteja ndo alipishwe.
Yani tumefikia pabaya sana kama taasisi kubwa hivi za kuaminika zinapishana kauli hadharani.
Mh jimbo la rais ndugu yako au??naona mnalingana uelewa.Kukariri kubaya.Acha kukariri VAT ni value added tax ni wapi imeandika ni lazima ilipwe na mwananchi
Kukariri kubaya.Acha kukariri VAT ni value added tax ni wapi imeandika ni lazima ilipwe na mwananchi