Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Ndio point yangu kwamba kiukweli...bank "hailipi" VAT...bank "Inakusanya" VAT. VAT inalipwa na wateja wa bank. Sana sana bank italipa VAT pale inaponunua bidhaa kwa ajili ya ofisi (mfano printing papers..etc). Lakini bank "inalipa" corporate tax..hapo mteja hahusiki. Hata siku moja hauta ona kipengele cha corporate tax kwenye bank statement yako. Nadhani umeona tofauti
upo deep mkuu nilitaka tusaidiane kushangaa tu,tofauti inaonekana.siamini kama TRA ndio wanaotaka benk ilipe vat,kuna mtu wanamsemea.
 
Ndulu ambaye kwenye utawala wake...mfumuko wa bei umeshuka kutoka double digit saa hizi tupo kwenye 5% na ushee ni jipu? Kwakua tu ameongea ukweli kuhusu kodi ya VAT? Kaazi kweli kweli.
Mpwa hao ndio CCM bhana, Leo wanasema hili kesho lile, hujui wanasimamia kitu gani
 
Huyu prof anajua yupo kipindi ch JK nini?
Bro wa sasa hachelewi kuchapisha note mpya
Watu mmekuwa waoga kupita kondoo, hata jambo lenye utata au kasoro mnataka watu wakubali tu. Uoga hautasaidia kuijenga nchi. Mwisho wa siku huu mzigo ni wa mwananchi ila serikali inajifanya sio.
Huyu gavana hana msaada wowote nchini..ndio maana BOT ina mauzauza kibao..atoke tu hizi nyakati zimemzidi uwezo.
 
kuna majtu kama jingalao yanadhani kila kitu ni kutumia msuli....hahaha ......hii sio sukari mnayoweza kubadilishaaa tu...safi governor
 
VAT analipa mteja benki zinalipa kodi kila baada ya miezi 3 corporate tax.hizo ada na tozo mbalimbali ndo zinatengeneza faida ambamo benk zinalipa kodi 30% ya faida.sasa ukisema benk zilipe tena VAT inakuwa double taxation.najiuliza hao wabunge walipitishaje hili maana VAT ni mlaji wa huduma ndo analipa.mfano ukienda dukani ukanunua kitu ile VAT ni wewe hivyo basi Gavana yuko sahihi kabisa ila yule wa TRA sijamwelewa kusema benki zilipe VAT maana yake zipunguze pato lake kwa kugawana na serikali inawezekana? any ngoja tuone wenye mamlaka watamuaje
Unategemea nini kwa Wabunge wa CCM? Labda kuwatusi Wapinzani na kumsifia mtawala. Ni aibu kubwa kuwa Mbunge kwa ticket ya CCM
 
upo deep mkuu nilitaka tusaidiane kushangaa tu,tofauti inaonekana.siamini kama TRA ndio wanaotaka benk ilipe vat,kuna mtu wanamsemea.
Hahahahaha unamtukana nanihiii? Hahahahaha sheria ya mtandao hio Mpwa Hahahaahhaha mbavu zangu weeeee
 
nimejiuliza sana...tena nimejiuliza kweli ...na nikajiuliza sana......na kwa masikitiko makubwa nikajiuliza.....hivi ina maana waziri mpango hajui jambo rahisi kama hili kuhusu VAT?
 
Hahahahaha umetoa Mfano mzuri Sana, Wabunge wa CCM walikua wanafurahi na kutukana tu hadi wanapitisha bajeti Ya ajabu hivi. Dah kazi ipo
haah haah mkuu mpwa unajua kama kwenye bajeti ya 2016/2017 kumewekwa na kodi ya pensheni za wabunge zitakazokusanywa 2020?jiulize zinatafuta nini kwenye bajeti ya leo kama sio bajeti hewa?
 
BOT ndio wasimamizi wa taasisi zote za kifedha nchini.

Maamuzi ya Bank yana baraka zote za BOT.
 
haah haah mkuu mpwa unajua kama kwenye bajeti ya 2016/2017 kumewekwa na kodi ya pensheni za wabunge zitakazokusanywa 2020?jiulize zinatafuta nini kwenye bajeti ya leo kama sio bajeti hewa?
Hivi sheria haiwezi kutungwa kabla ya kosa kutendeka???
Kweli special diploma mna matatizo sana
 
Naungana na Tyta kosa la kwanza ni kuita hilo tozo VAT, hapo ndio mzizi wa fitna unapoanzia. TRA nao wanasemaje mabenki hayalipi kodi wakati wakiweka taarifa zao za kifedha kuna kua na before tax au after tax? Sasa kama hizo charges ni sehem ya hiyo faida, si ndio unakua imejumuishwa kwenye income tax zinazolipwa na mabenki? Any way, vyovyote itakavyokua, mwananchi ndio akataeumia.
 
ndulu hapendi kupelekeshwa anasimamia ukweli, hawa ni watanzania wachache tunaowataka labda wanaweza kutufikisha kwenye Tanzania ya viwanda
Labda wanatakiwa na wenye mabenki
 
nimejiuliza sana...tena nimejiuliza kweli ...na nikajiuliza sana......na kwa masikitiko makubwa nikajiuliza.....hivi ina maana waziri mpango hajui jambo rahisi kama hili kuhusu VAT?
yule sio yeye,ni sawa na mtu akiwa bwii kinachoongea ni pombe sio yeye.Magufuli anasema kupitia Mpango na TRA.Profession yako kafugie kuku.hapa kazi tu
 
Tabu ya kuweka watu wasio na uzoefu katika nyadhifa,kila siku ni mikurupuko tuuu..
 
Naungana na Tyta kosa la kwanza ni kuita hilo tozo VAT, hapo ndio mzizi wa fitna unapoanzia. TRA nao wanasemaje mabenki hayalipi kodi wakati wakiweka taarifa zao za kifedha kuna kua na before tax au after tax? Sasa kama hizo charges ni sehem ya hiyo faida, si ndio unakua imejumuishwa kwenye income tax zinazolipwa na mabenki? Any way, vyovyote itakavyokua, mwananchi ndio akataeumia.
Mwananchi alishaumizwa muda mrefu na mabank ...sasa ni vyema aumie lakini katika kile alichoumizwa nacho kiasi kidogo kirudi serikalini...Nia ya serikali ni njema mno lakini kuna wahuni wanachezea koki na lazima walowane!
 
Hivi sheria haiwezi kutungwa kabla ya kosa kutendeka???
Kweli special diploma mna matatizo sana

Unaelewa maana ya budget? Hii ni budget ya 2016/2017 hiyo kodi wstakaotozwa waheshimiwa haitaonekana kwenye kipindi cha budget iliyopitishwa. Itakuja kuobekana 2020, kama maamuzi hayatabadilishwa kama Yale ya kutoa chakula Muhimbili. Wakati mwingine jitahidi kuelea jingalao sio unaleta mambo ya diploma hapa.
 
Hivi sheria haiwezi kutungwa kabla ya kosa kutendeka???
Kweli special diploma mna matatizo sana
mkuu heshimu taaluma za watu hata kama ni diploma.hata hivyo situmii CPA(T),ACCA na ADA zangu kulielewa hili.
 
Back
Top Bottom