The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,656
- 47,292
Mwananchi alishaumizwa muda mrefu na mabank ...sasa ni vyema aumie lakini katika kile alichoumizwa nacho kiasi kidogo kirudi serikalini...Nia ya serikali ni njema mno lakini kuna wahuni wanachezea koki na lazima walowane!
Unajua kwamba mabenki yanalipa income tax? Kwanini hautaki kuelewa kwamba kosa lipo kwenye kuita hilo tozo VAT? Badili jina mkuu!