Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,075
- 6,620
Ushauri wa bure!!!yani vijana wa Lumumba ni bure bure kabisa. Hata kama. mnalipwa buku mbili zenu msijitoe akili kiasi hiki.
Chukua smartphone yako unayotumia kupost humu. Google neno V. A. T. Soma definition ya VAT ndo ujue anatakiwa alipe mlaji au biashara.
Khaaaaaa am shamed to be a Tanzanian, Kama ndo wavivu wa kufikiri hivi. Yani asubuhi akili yako inatakiwa iwe active lakini umeamua utumie akili za usiku.
No wonder Kenya hatutakaa tuwapite na wataendelea kutudharau milele kama hizi ndo akili zetu.
Kama unaaibika kuwa mtanzania you better leave the country today! Haiwezekani kitu kinachoendelea kukutia aibu kila siku bado unakishikilia. Leave the country Sir!