Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Zamani walikuwa hawatozwi na walikuwa wanatukata.. Basi wangeacha kukata.. Au wanataka walipe na zile zote za nyum?

Hicho mabenki wanachokata ni kufidia gharama zao za uendeshaji na wala si kodi.
 
Kutowa= kutoa



Sasa ulitaka afiche ukweli? Unajuwa kwamba VAT inalipwa na mtumiaji/mlaji? VAT ilikuwa exempted kwenye bank services kama iivyo kuwa exempted kwenye hospital services. Sasa unapo exemptuwa unataka service provider alipie yeye kwa kupunguza gharama zake by 18%? Possible lakini serikali ilikuwa wakae pamoja na financial sectors kabla ya kutowa maamuzi
 
siamini kama mchumi Mpango hajui jambo rahisi kama hili...something must be wrong somewhere
Nadhani wana interest ya kuwabana mabenki ila kwa approach ya VAT wamechemka,tunaumizwa wananchi
 
Kulikua hakuna vat kwenye hio kitu. Ndo maana imetungiwa sheria sasa. Ada walizo weka ndio zinaendana na gharama za uendeshaji. Ukiipunguza ili wao wawepo duniani kibiashara itabidi waegeze ada tu

Mabenki mengi yalijua kuwa kuna hii kodi kwenye huduma zao na they used to factor it as a cost; kwahiyo sisi wateja tulikuwa tunalipia through bank charges na ndio maana mabenki mengi yalikuwa yanatengeneza faida kubwa sana sio kwa kukopesha bali kutokana na tozo!! TATIZO LINAKUJA KWA SABABU YA ukilaza WA tra HAWAKUWA WANAKUSANYA HII TOZO TOKA HAYA MABENKI ; HIVI SASA NDIO WANAAMKA KUWA KUMBE KULIKUWA NA PESA KWENYE MABENKI AMBAZO ZILIKUWA ZINAKUSANYWA LAKINI HAZIKUWA ZINAWASILISHWA!! Ndullu anawachanganya kwa kusema kuwa mabenki hayalipi bali ni wakala wa TRA akijua fika kuwa wao BOT kama REGULATORS walishindwa kuishauri serikali juu ya kuwepo kwa hizi tozo kwenye huduma za benki na ndio maana kuna bank charges ambazo uwepo na ukubwa wake ni haramu [ unjustified bank charges] na BOT wako kimya tu!!!
 
VAT ni kodi ya mlaji sasa sijui huyu jamaa wa TRA anataka kutueleza nini na ndio maana hata dukani bei ya kitu inakuwa kama ilivyo na ukipewa risiti chini ndio VAT inaongezwa kwa maana lazima bei ya kitu au huduma iwe kama ilivyo ziada ya VAT ni wewe mlaji.
 
sikatai inawezekana hukatwi kulingana na hiyo benki,lakini si kama hakuna charges kabisa.Inawezekana kama sehemu ya marketing strategy katika kitengo hicho(saving account) benki ikaamua kutoweka charges zozote/charges kidogo sana kuvutia wateja zaidi,ilhali katika kitengo/huduma nyingine pengine bank ina charges(ambazo ni revenue kwake) inazoweza kubeba gharama za kuoperate savings accounts za wateja wake.Kwa hiyo kaa ukitambua kwamba katika benki hiyohiyo,wewe ukiinjoy unafuu wa savings accounts,kuna mwengine anapigwa charges katika huduma nyingine..

Benki zingefungwa kama hayo maelezo yake yana ukweli. Charges ni miongoni mwa vyanzo vya mapato vya hizi bank. Mimi kuna moja nikitoka pesa kwa ATM wana kula 12,000 TZS charges.
Umetoa maelezo mazuri sana sema watu wanagoma kuelewa mkuu.
 
na CAG Prof.Assad.
Yah Ndullu na Assad so far,wote Ma Proffessor ndo mana,
Na Zitto Kabwe nae nimemkubali
Watu wawe wanasimama kusema ukweli kwa kunyoosha maelezo km hawa jamaa
MKULU anasema anatetea wanyonge mi simwelewi naona anazidi kuwakandamiza
 
Benki zingefungwa kama hayo maelezo yake yana ukweli. Charges ni miongoni mwa vyanzo vya mapato vya hizi bank. Mimi kuna moja nikitoka pesa kwa ATM wana kula 12,000 TZS charges.
Umetoa maelezo mazuri sana sema watu wanagoma kuelewa mkuu.
Daaaaamn benki gani hio...zitakua za kimataifa hizi nini manaa
 
Aliyejichanganya hapa ni huyu Gavana wa BOT. Wasomi wetu hawa sijui walisomea wapi?
1467448826812.jpg
 
Nakubaliana na wewe mkuu, TRA hoja yao ni kwamba benki zinatakiwa kulipa serikali 18 % ya charges wanazotukata, yeye anakuja na habari tofauti kwamba benki ni wakusanyaji tuu wa hiyo 18 %.
Mkuu unaijua Vat?na inavolipwa em pitia wadau wameelezea vzur sana kwny uzi tangu mwanzo
 
VAT ni kodi ya mlaji sasa sijui huyu jamaa wa TRA anataka kutueleza nini na ndio maana hata dukani bei ya kitu inakuwa kama ilivyo na ukipewa risiti chini ndio VAT inaongezwa kwa maana lazima bei ya kitu au huduma iwe kama ilivyo ziada ya VAT ni wewe mlaji.
1467448933682.jpg
 
kitendo cha ile kodi kuiita VAT,Basi mzigo unaenda moja kwa moja kwa mlaji.Labda ibadilishwe jina na isiwe VAT.Profesa yuko sahihi.TATIZO HII NCHI KWA SASA MAAMUZI YA TULIOWAPA DHAMANA YANATOLEWA KWA HOFU YA KUTUMBULIWA.
Wengi wanabisha kwakuwa hawajui maana ya VAT. Ukweli ni kuwa TRA wamekosea, BOT wapo sahihi. Vinginevyo hiyo kodi isiwe VAT ipewe jina jingine
 
Sijaona tatzo, ni kweli mabenk ni mawakala, lakini tunacho angalia makato yanatokana na charge ip
 
Answering this question is the logic behind of what is going on now with our banking system and how TRA didn't collect VAT before. It isn't an issue of VAT definition. Hapo ndio unapopotelea. Kwa sasa TRA watakata kila walichokuwa wanatukata Bank awali kama walikata 2200 ina maana TRA watakwida hapo 18% zao ambazo bank awali waliibia TRA. Sisi tutakuwa affected kama bank wakiruhusiwa kuongeza gharama za miamala kinyemela ili watuletee huo mzigo. But for now hatupo affected.
1467449134837.jpg
 
Hii ni kauli ya gazeti si ya Ndulu
 
Bank Charges Haziepukiki,ziwe na kodi ndani yake ama zisiwe na kodi ndani yake.Kumbuka Zile ni sehemu ya gharama unazotozwa kwa huduma unazopata za kibenki.Sasa kama Serikali yako haikuwa inatoza chochote kwenye charge hizo si kosa la Benki ama jukumu la benki kuiambia Serikali iwacharge.Na vyovyote vile,Tozo hiyo ikiitwa VAT basi automatically jukumu linakuwa kwa mlaji,na hata iwe excise duty nyingine,Mabenki yatatafuta namna ya kuongeza mzigo kwa wateja kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji.
Watanzania wamezoea dezo sana hadi mtu unashangaa. Nchi haiwezi kujengwa kama hatulipi kodi. Ni lazima tulipe kodi ndio nchi yetu itapiga hatua. VAT kwenye huduma za kifedha si hela nyingi kiasi cha kupigiwa kelele kiasi hiki. Mimi naunga mkono watanzania tulipe kodi lkn serikali nayo itumie kodi yetu kwa maendeleo yetu sio mambo ya kisiasa au yasiyo na tija kwa mtanzania wa kawaida. Benno Ndulu yupo sahihi, TRA wakosea thats all.
 
Yah Ndullu na Assad so far,wote Ma Proffessor ndo mana,
Na Zitto Kabwe nae nimemkubali
Watu wawe wanasimama kusema ukweli kwa kunyoosha maelezo km hawa jamaa
MKULU anasema anatetea wanyonge mi simwelewi naona anazidi kuwakandamiza
ila Zito nae alipotosha kusema kila ukitoa 1,000 unakatwa 280
 
Back
Top Bottom