Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

nadhani mnachanganya mambo. lengo la serikali ni kumpunguzia mzigo mlaji yaani consumer. kwa maana nyingine tozo za huduma ile 18% zinatakiwa zipunguzwe na iwe ndio consumption tax badala yake. kama tozo ya huduma ilikuwa sh.2000. mteja sasa anatakiwa kutozwa 1640. na ile 360 iwe consumption tax. kiufupi gharama imepunguzwa kwa mlaji. mabenki income yao nayo imepungua.nadhani Gavana ameteleza., its just a slip of the tongue.
Hiyo kodi itaitwaje sasa?

Unaweza kupunguza mzigo kwa kuongeza kodi?!!
 
Tozo (fees/charges) wanazotoza benki kama vile makato ya kila mwezi, ATM withdraw fees, nk zinalipwa na mtumiaji wa huduma za benki (mteja wa benk). Serikali inachosema ni kuwa hizo fees kwa sasa zitakuwa na VAT (inclusive VAT) yaani ndani yake kutakuwa na 18% ya serikali.
Mfano: Kama gharama ya kutoa fedha kwenye ATM ni shs 1,000 fedha yote hii ilikuwa inachukuliwa na benki. Kwa utaratibu mpya ni kuwa fedha hiyo sasa benki watailipa serikali 18%, yaani benk watachukua shs 847 na Serikali watachukua shs 153 kama kodi ya ongezeko la thamani, VAT. Utaona kuwa gharama kwa mtumiaji wa benki inaendelea kuwa ile ile shs 1,000.
Utaratibu huu benki hawataki kwa sababu utapunguza mapato yao ya hizo tozo kwa 18%. Benki wanachotaka ni kuwa waongeze 18% kwenye tozo wanazotoza saa hivi, yaani kwenye 1000 waongeze 18% na kuwa sh 1180 na hivyo kusukuma hilo ongezeko kwa mtumiaji wa mwisho wa huduma za benki kwa ongezeko la gharama za huduma za benki.
Mpaka sasa benk wanawatoza wateja wao gharama kubwa na wanachokirudisha kwa wateja wao kama riba ni kidogo sana, riba ya mkopo wa benki ni kati ya 20% hadi 25% kwa mwaka lakini ukiweka fedha zako benki utapata riba ya kati ya 2% na 6%, bado hizo fedha wanazifanyia biashara na kupata faida kubwa. Utaona kuwa hata hizo fees hazikupaswa kuwepo na kama zinapaswa kuwepo zinatakiwa ziwe kidogo sana.
Benki zetu haziko tayari kuwasaidia wateja wao kujikwamua na hali ngumu ya maisha badala yake wamekuwa zikandamiza wateja wako. Nashangaa hata huyo Prof wa BOT anawasapoti ili hiyo 18% iende kwa watumiaji wa mwisho (wateja wa benk).
Tukumbuke serikali imeweka kodi, 18% kwenye fees ambazo benki tayari walikuwa wanazikusanya lakini walikuwa hawazilipii kodi.
Mkuu naona unahitaji ufafanuzi na unaelekea kutaka kuelewa. Hayo makato yote yanayofanywa na benki sijui ATM service charges sijui withdraw charges na macharges yote ni kwamba mwisho wa mwaka zinapigwa hesabu na maodita na kile chote kinachowekwa mezani TRA wana mgao wao na wanauchukua. Sasa ukitaka wachukue kabla hiyo18% na baadaye waje wachukue tena mkuuuu watakuwa wamefanya either double taxation or ziada ya kodi na itaonekana tu kwenye balance sheet na ndo maana tukawaambia hao maTRA wanataka hiyo kodi waliyoongeza itoke wapi tena kama siyo kwa hawa wanyonge ambao wao wanadhani kuwa sirikali ndiyo inayowatetea kumbe inapiga tu blah blah??? Elewa pleaseeeee! Najua unaweza kuelewa ila ndo hivyo u- jingalao na u- Lizaboni na u Simiyu Yetu unakunyemelea mkuu!! Hiyo kodi itoke wapi wakati tumeshafanya forecasting ya December????
 
Tozo (fees/charges) wanazotoza benki kama vile makato ya kila mwezi, ATM withdraw fees, nk zinalipwa na mtumiaji wa huduma za benki (mteja wa benk). Serikali inachosema ni kuwa hizo fees kwa sasa zitakuwa na VAT (inclusive VAT) yaani ndani yake kutakuwa na 18% ya serikali.
Mfano: Kama gharama ya kutoa fedha kwenye ATM ni shs 1,000 fedha yote hii ilikuwa inachukuliwa na benki. Kwa utaratibu mpya ni kuwa fedha hiyo sasa benki watailipa serikali 18%, yaani benk watachukua shs 847 na Serikali watachukua shs 153 kama kodi ya ongezeko la thamani, VAT. Utaona kuwa gharama kwa mtumiaji wa benki inaendelea kuwa ile ile shs 1,000.
Utaratibu huu benki hawataki kwa sababu utapunguza mapato yao ya hizo tozo kwa 18%. Benki wanachotaka ni kuwa waongeze 18% kwenye tozo wanazotoza saa hivi, yaani kwenye 1000 waongeze 18% na kuwa sh 1180 na hivyo kusukuma hilo ongezeko kwa mtumiaji wa mwisho wa huduma za benki kwa ongezeko la gharama za huduma za benki.
Mpaka sasa benk wanawatoza wateja wao gharama kubwa na wanachokirudisha kwa wateja wao kama riba ni kidogo sana, riba ya mkopo wa benki ni kati ya 20% hadi 25% kwa mwaka lakini ukiweka fedha zako benki utapata riba ya kati ya 2% na 6%, bado hizo fedha wanazifanyia biashara na kupata faida kubwa. Utaona kuwa hata hizo fees hazikupaswa kuwepo na kama zinapaswa kuwepo zinatakiwa ziwe kidogo sana.
Benki zetu haziko tayari kuwasaidia wateja wao kujikwamua na hali ngumu ya maisha badala yake wamekuwa zikandamiza wateja wako. Nashangaa hata huyo Prof wa BOT anawasapoti ili hiyo 18% iende kwa watumiaji wa mwisho (wateja wa benk).
Tukumbuke serikali imeweka kodi, 18% kwenye fees ambazo benki tayari walikuwa wanazikusanya lakini walikuwa hawazilipii kodi.
Maelezo mengi lakini yamepotoka.
Kwanza unachanganya hoja, kuna bei ya huduma ambayo serikali haihusiki kupanga bali ni nguvu ya soko.

VAT sio direct tax kwamba serikali itaweka fixed amount. Na endapo lengo ni kumpunguzia gharama mlaji basi hupaswi kulipisha VAT kwenye huduma
 
dudus , hawa jamaa inabidi wakatwe Kodi kwenye mshahara na mafao Ndio watatia akili wakiwa wanachangia hoja bungeni. Siku zote wanasjangilia tu na kupiga makofi kwa sababu vitu Vinci haviwaathiri wao moja kwa moja, wanasahau kwamba wana ndugu, jamaa na wana nchi wengine wanaotegemea maamuzi yao Kwenye kutunga sheria.
 
Tukumbuke serikali imeweka kodi, 18% kwenye fees ambazo benki tayari walikuwa wanazikusanya lakini walikuwa hawazilipii kodi.

Kwa mawazo haya basi safari ni ndefu.

Utasemaje mabenki yalikuwa hayalipi kodi wakati wanalipa corporate tax kwenye faida wanazopata? Na moja ya mapato yao ni bank charges?

Pia, kama unaongelea VAT, hiyo VAT ilikua exempted in previous Acts, hivyo hawakupaswa kuzilipa.

Kuna watu wanajua kodi ni kodi. Hawajui tofauti ya corporate tax wala VAT. Si ajabu haya ndo mawazo ya wakubwa. Ujinga mtupu.
 
Tozo (fees/charges) wanazotoza benki kama vile makato ya kila mwezi, ATM withdraw fees, nk zinalipwa na mtumiaji wa huduma za benki (mteja wa benk). Serikali inachosema ni kuwa hizo fees kwa sasa zitakuwa na VAT (inclusive VAT) yaani ndani yake kutakuwa na 18% ya serikali.
Mfano: Kama gharama ya kutoa fedha kwenye ATM ni shs 1,000 fedha yote hii ilikuwa inachukuliwa na benki. Kwa utaratibu mpya ni kuwa fedha hiyo sasa benki watailipa serikali 18%, yaani benk watachukua shs 847 na Serikali watachukua shs 153 kama kodi ya ongezeko la thamani, VAT. Utaona kuwa gharama kwa mtumiaji wa benki inaendelea kuwa ile ile shs 1,000.
Utaratibu huu benki hawataki kwa sababu utapunguza mapato yao ya hizo tozo kwa 18%. Benki wanachotaka ni kuwa waongeze 18% kwenye tozo wanazotoza saa hivi, yaani kwenye 1000 waongeze 18% na kuwa sh 1180 na hivyo kusukuma hilo ongezeko kwa mtumiaji wa mwisho wa huduma za benki kwa ongezeko la gharama za huduma za benki.
Mpaka sasa benk wanawatoza wateja wao gharama kubwa na wanachokirudisha kwa wateja wao kama riba ni kidogo sana, riba ya mkopo wa benki ni kati ya 20% hadi 25% kwa mwaka lakini ukiweka fedha zako benki utapata riba ya kati ya 2% na 6%, bado hizo fedha wanazifanyia biashara na kupata faida kubwa. Utaona kuwa hata hizo fees hazikupaswa kuwepo na kama zinapaswa kuwepo zinatakiwa ziwe kidogo sana.
Benki zetu haziko tayari kuwasaidia wateja wao kujikwamua na hali ngumu ya maisha badala yake wamekuwa zikandamiza wateja wako. Nashangaa hata huyo Prof wa BOT anawasapoti ili hiyo 18% iende kwa watumiaji wa mwisho (wateja wa benk).
Tukumbuke serikali imeweka kodi, 18% kwenye fees ambazo benki tayari walikuwa wanazikusanya lakini walikuwa hawazilipii kodi.
Hizo charge siyo faida tuu kuna gharama za uwendeshaji ndani,
 
kitendo cha ile kodi kuiita VAT,Basi mzigo unaenda moja kwa moja kwa mlaji.Labda ibadilishwe jina na isiwe VAT.Profesa yuko sahihi.TATIZO HII NCHI KWA SASA MAAMUZI YA TULIOWAPA DHAMANA YANATOLEWA KWA HOFU YA KUTUMBULIWA.

!
!
Vat is a consumption tax... Watu hawataki kujifunza. Hii kodi haimuhusu mzalishaji wala msambazaji ni ya mlaji.
 
Kazi sana, mm ni mteja wa benj ya ughaibuni WESTPAC sijawah katwa nikitoa pesa, kutuma pesa wala nini kwa acc yangu ya savings. Tz why wasiige huo mfano, kuangalia salio tu unakatwa..unakatwa..unakatwa
sikatai inawezekana hukatwi kulingana na hiyo benki,lakini si kama hakuna charges kabisa.Inawezekana kama sehemu ya marketing strategy katika kitengo hicho(saving account) benki ikaamua kutoweka charges zozote/charges kidogo sana kuvutia wateja zaidi,ilhali katika kitengo/huduma nyingine pengine bank ina charges(ambazo ni revenue kwake) inazoweza kubeba gharama za kuoperate savings accounts za wateja wake.Kwa hiyo kaa ukitambua kwamba katika benki hiyohiyo,wewe ukiinjoy unafuu wa savings accounts,kuna mwengine anapigwa charges katika huduma nyingine..
 
Wadau hawa wote (BOT, TRA & BANKS) walitakiwa wakae pamoja wapitie sheria na sera badala ya kuropoka mitandaoni
 
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Hivi unajua nani anapaswa kulipa VAT?? Ukishaipa Jina VAT umlaji wa huduma ndo mlipaji mtoa huduma yeye ni kama wakala wa kukusanya VAT kwa mlaji.
Hiyo ya kwenye income ni Nyingine ambayo unatakiwa kulipa kodi kwa kila unachoingiza wewe mtoa huduma.
 
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
TRA wanashindwa nini kwenda kuwadai benki hicho walichokusanya bila kulipa? Benki ni kama muuza bidhaa yoyote, nauza ndizi tzs 500 serikali ikiweka kodi tzs 100 nauza tzs 600.
 
Huu mchezo hauitaji hasira, competitive market VAT inatuhusu sisi watumiaji wa huduma.

Hata kama leo watakubaliana kumbuka kesho wataongeza the main aim of bussnez man is to maximize profit
 
Value-Added Tax (VAT) is a tax on consumer spending. It is collected by VAT-registered traders on their supplies of goods and services effected within the State, for consideration, to their customers.kwishaaaa!!!!
C&P

Answering this question is the logic behind of what is going on now with our banking system and how TRA didn't collect VAT before. It isn't an issue of VAT definition. Hapo ndio unapopotelea. Kwa sasa TRA watakata kila walichokuwa wanatukata Bank awali kama walikata 2200 ina maana TRA watakwida hapo 18% zao ambazo bank awali waliibia TRA. Sisi tutakuwa affected kama bank wakiruhusiwa kuongeza gharama za miamala kinyemela ili watuletee huo mzigo. But for now hatupo affected.
 
Wataalamu wa kodi nisaidieni hii kitu; hivi ni kanuni kwamba VAT rate is always 18%? Kila inapozungumziwa VAT utaona 18%; haiwezi kuwa kiwango tofauti?
 
Answering this question is the logic behind of what is going on now with our banking system and how TRA didn't collect VAT before. It isn't an issue of VAT definition. Hapo ndio unapopotelea. Kwa sasa watakata kila walichokuwa wanatukata kama walikata 2200 inamaa TRA watakwida hapo 18% ambayo bank awali waliibia TRA. Sisi tutakuwa affected kama bank wakiruhusiwa kuongeza gharama za miamala kinyemela ili watuletee huo mzigo. But for now hatupo affected.
Sasa hiyo inaitwa kujitoa ufahamu,hapo mkuu unapiga siasa while ukweli unajua,
 
Mnajua kuzitengeneza nyuzi na kuzichangia.Kodi lazima tulipe na tuwe wakali pale ınapotumiwa vibaya.
 
Back
Top Bottom