Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

mapigano yao maumivu kwetu,na tra sio hukumu la kuziamrisha benki,bot wameshatoa go ahead
 
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Benki ilikuwa haikusanyi kitu chochote kinachoitwa VAT kwa niaba ya serikali kwenye miamala ya Huduma za kibenki hapo kabla.Hivyo hii kodi mpya mpya ambayo athari zinakwenda kwa mlaji. VAT ni "consumption tax" ambapo mlaji wa bidhaa ndiye mlipaji. Ni vizuri ukajiridhisha kwanza kabla ya kuandika
 
Nchi hii tunao wataalamu wa kuto sha ila tatizo 'wamefunikwa' na wanasiasa ambao wengi wao ni wababaishaji.Ndullu na mpango wanafahamu ukweli uko wapi lkn wanayumbishwa na wanasiasa. Bank charges ni mapato ya bank hayawezi Ku 'chajiwa' VAT.
 
When a television is built by a company.the manufacturer is charged VAT on all of the supplies it purchases to produce the television. Once the television reaches the shelf, the consumer who purchases it must pay the applicable VAT.
 
Tra hakuna wajuvyi wa kodi, nafasi nyingi za kugaiana tu. Hata hio vat juu ya ada ni utumiaji mbovu wa vat. Sio kila mahala una toza vat.
Hii kwa uerfu ni valu added tax. Inatumika pale mlaji anapo nunua kitu. Hutumika zaidi kwenye bidhaa na sio kwenye services. Na hii ni kodi ambayo kuna wengine wapo excempted mfano diplomats . Hawa wanapo nunua kitu au service basi huomba refund...ni usumbufu sana ila tra hawajui ku plan mambo yao kwani wana ukosefu wa wataalam wa kububi hiw yo implement tax wanazo zitunga.
Na hili la bank vat haikupaswa kuwekwa kabisa , ndio kama lile la utaliii....
Gharama za kuweka fedha benki hazitakiwi ziwe juu . Ukiweka vat ni wazi banki wata ongeza juu ada zao kufidia ile iliokatwa na vat....hivyo gharama zinaenda kwa mteja.
Tukumbuke fedha zozote zinazo wekea bank tayari aidha ni income au revenue ya makampuni au mishahara ya wafanyakazi ambao wanapitishia fedha benki.
Hizi fedha sio product, hizi tayari ndani yake kuna vat ya tra , kuna stamp duty ya tra, kuna WHT ya tra pia kuna corporate tax ya tra...na kwa wafanya kazi ni net income baada ya kutoa payee. Kuzitoza kodi kwa njia yoyote ile hata kwa kuongezeka ada juu kutokana na kuanzishwa vat ya ada sio sawa kabisa kabisa..ni kodi haramu au kodi jipu
Mkuu umeandika vizuri saana,Well done sir
 
Mabenki mengi yalijua kuwa kuna hii kodi kwenye huduma zao na they used to factor it as a cost; kwahiyo sisi wateja tulikuwa tunalipia through bank charges na ndio maana mabenki mengi yalikuwa yanatengeneza faida kubwa sana sio kwa kukopesha bali kutokana na tozo!! TATIZO LINAKUJA KWA SABABU YA ukilaza WA tra HAWAKUWA WANAKUSANYA HII TOZO TOKA HAYA MABENKI ; HIVI SASA NDIO WANAAMKA KUWA KUMBE KULIKUWA NA PESA KWENYE MABENKI AMBAZO ZILIKUWA ZINAKUSANYWA LAKINI HAZIKUWA ZINAWASILISHWA!! Ndullu anawachanganya kwa kusema kuwa mabenki hayalipi bali ni wakala wa TRA akijua fika kuwa wao BOT kama REGULATORS walishindwa kuishauri serikali juu ya kuwepo kwa hizi tozo kwenye huduma za benki na ndio maana kuna bank charges ambazo uwepo na ukubwa wake ni haramu [ unjustified bank charges] na BOT wako kimya tu!!!

Hauko sahihi hata kidogo. Hakuna biashara yoyote inayoweza kuweka kodi ya bei kwenye bei zake haka hiyo bidhaa au huduma kisheria haitozwi VAT.

Wangekuwa wanafanya hivyo makampuni ya utalii yasingeilalamikia kodi ya VAT kwenye huduma za utalii.

WENYE AKAUNTI BENKI TULIPE TUU KODI YA SERIKALI BILA MANUNGUNIKO KWA MAENDELEO YA NCHI YETU.
 
Hivi wadau hawakukaa na kujadiliana kuhusu kodi hiyo. Mabenki , wizara ya fedha, TRA na msimamizi-regulator wa mabenki BoT kweli jamani mnavuana nguo hadharani Vivi hivi. Kimsingi kwenye hotuba ya bajeti hio tozo ilitajwa kama vat. Sasa tunajua vat ni mzigo wa mtumiaji wa mwisho.
 
Tra hakuna wajuvyi wa kodi, nafasi nyingi za kugaiana tu. Hata hio vat juu ya ada ni utumiaji mbovu wa vat. Sio kila mahala una toza vat.
Hii kwa uerfu ni valu added tax. Inatumika pale mlaji anapo nunua kitu. Hutumika zaidi kwenye bidhaa na sio kwenye services. Na hii ni kodi ambayo kuna wengine wapo excempted mfano diplomats . Hawa wanapo nunua kitu au service basi huomba refund...ni usumbufu sana ila tra hawajui ku plan mambo yao kwani wana ukosefu wa wataalam wa kububi hiw yo implement tax wanazo zitunga.
Na hili la bank vat haikupaswa kuwekwa kabisa , ndio kama lile la utaliii....
Gharama za kuweka fedha benki hazitakiwi ziwe juu . Ukiweka vat ni wazi banki wata ongeza juu ada zao kufidia ile iliokatwa na vat....hivyo gharama zinaenda kwa mteja.
Tukumbuke fedha zozote zinazo wekea bank tayari aidha ni income au revenue ya makampuni au mishahara ya wafanyakazi ambao wanapitishia fedha benki.
Hizi fedha sio product, hizi tayari ndani yake kuna vat ya tra , kuna stamp duty ya tra, kuna WHT ya tra pia kuna corporate tax ya tra...na kwa wafanya kazi ni net income baada ya kutoa payee. Kuzitoza kodi kwa njia yoyote ile hata kwa kuongezeka ada juu kutokana na kuanzishwa vat ya ada sio sawa kabisa kabisa..ni kodi haramu au kodi jipu
Mkuu ume nena ukweli mtupu, shida ni kwamba serikali imelemewa na deni kubwa la nje wakati karibia nusu ya makusanyo ya kodi yanaenda kwenye mshahara. Ukijumlisha na gharama nyingine kama umeme, mafuta ya kutumia kwenye mitambo ya serikali, maji gharama za simu nk unakuta govt inabaki na pesa kidogo6ya maendeleo lakini pia inakua kidogo kulipia madeni.

Pamoja na hayo serikali imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na kushia kuwaumiza wafanyabiashara na wanachi wa kawaida bila kujua kwamba na yenyewe itakosa mapato in the long run.

Tutalimia meno.
 
Back
Top Bottom