Calling a spade a spade,Balali ni mwathirika,na hilo lilikuwa likifahamika pale BOT kwa muda mrefu tu.Tatizo pale mahala (BOT),kama ilivyo kwenye visima vingine vya fedha,mafisadi wamekuwa wanaendekeza sana uzinzi to an extent ya kushindana miongoni mwao.Sasa unatarajia nini kama Balali alikuwa "anazungukana" (wanabadilishana vimada) na Liumba (
huyu ndie ambaye JK anadai "bunge litawatungia sheria watu wanaoambukiza UKIMWI kwa makusudi)
Wapo wengi wanaojua kuwa Balali,Liumba,and number of wakware hapo BOT ni waathirika lakini kwa vile "jamii yetu imestaarabika sana to an extent haiwezi kumnyanyapaa hata yule anayetumia fedha za ufisadi kuteketeza afya za dada zetu walio radhi kuukwaa kuliko kuendelea na umasikini" MAFISADI hawa wanaendelea kupata "kinga isiyo rasmi" ya kutajwa hadharani.
Inasemekana wakati wa kikao kilichopita cha Bunge,baadhi ya wabunge wanaojua afya ya Balali walikuwa wakitania kuwa "huyu jamaa aachwe tu ajifie kwa amani..." kumaanisha kwamba presha ndogo tu inatosha kumuondoa Balali duniani.Naamini kuna waliomuona namna alivyokongoroka,siku ile alipokutana na waandishi wa habari.
Kuhusu tuhuma za ufisadi,it goes without saying kwamba pamoja na kuwa mshiriki mkuu kwenye skandali nzima,Balali ni sawa tu na "ncha ndogo ya barafu inayoonekana usoni mwa bahari huku sehemu iliyofichika baharini ni mlima wa iceberg" (tip of the iceberg).Tunafahamu major players katika ufisadi huo kama walivyotawa na Dr Slaa,na kwa vile "ushirika wa wachawi huwa haudumu" si jambo la kushangaza iwapo Balali ataishia kuwa mbuzi wa kafara (na kwangu hiyo siyo adhabu anayostahili bali ni vema "akitangulia kwa Mwalimu" akawe kuni za kuchochea miili ya mafisadi wengine waliotangulia akhera).
Tuna mengi ya kushuhudia kabla ya Wadanganyika hawajafikia hatua ya kusema enough is enough,hasa ukizingatia kosa la kihistoria tulilofanya kumweka msanii pale Ikulu.