Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
hii kitu ilikua ni uzushi tu pamoja nilikua nakimbia nikisikia ila cjawai liona hilo gari....
Ila hao watu walikuepo kabisa na walikua na kibali sema ili kuja kukoma baada ya kuingia magonjwa.