BRN imeharibu utamu kabisa zamani ilikuwa balaa mwalimu akifa tunashukuru
.
umenichekesha sana mkuuivi zamani sijui palikua na nn
hahahahah this is not fair
i have to screenshot this
hahahahahahahahaha aiseeeee mkuu nimecheka hadi mkojo
haikuwa vijijini tu,mijini pia hiyo kasumba ilikuwepo sana.
hii mambo ya kuzusha vitu vya uongo hadi leo vipo, kumbuka tukio la mkono wa mtu kuota manyoya baada ya kumsaidia mtu mwenye ulemvu pale salender bidge au tukio la kutekwa kwa mtoto pale shule ya tabata na kuhusishwa na noah nyeusi
Nikisoma Uyole S/M Kilimo 1995 tuliambiwa tusipite peke yetu kwenye mahindi ya shamba la Kilimo tukienda shule kwani kuna gari la nyonya damu na machinjachinja ya sijabaje,ilikuwa ni kitisho sana enzi hizo[/QUOTE
nlimuona karibuni Dr sijabaje....umenifurahisha sana mkuu
umo umo story zenyewe zilikuwa zinabadilika siku bada ya siku kama zilivyo za dengue na panya road....ila siku hizi shule za msingi hata raha hakuna.. nakumbuka miaka hiyo alitoroka ng`ombe kichaa vingunguti basi ile tunaenda class kwa mstari tukitokea mstarini duh ilikuwa bonge ya patashika...... tulikuwa na ticha mkuu nyoko kweli na yeye akakimbia mziki wa huyo ng`ombe basi tulifurahi saana yaaani ni zaidi ya miaka kama 19 ila kila tunapokutana na wadau story ya kwanza ni ya ng`ombe....eti siku hizi mwalimu ana m-hug mwanafunzi khaaa
kitu cha combi nyekundu wanakuja ukikimbia wanakumulika na kioo chao unapata kizunguzungu unadondoka duh...kweli kipindi kile uongo ulikuwa unapangiliwa
hili tukio sitalisahau kwenye maisha yangu maana tuliona kama ni lidudu fulani linataka kutuua