Gari ya nyonya damu kwa waliosoma miaka ya 90

Aseee! Umenikumbusha mbaali. Sio miaka ya 90 hata ya 80 mambo hayo yalikuwepo..Nakumbuka kuna siku tukasikia nyonya damu inakuja, bila hata ya kuiona tulitoka darasan kwa kiwewe nakumbuka tulibanana mlangon nilipotoka hapo nilipata maumivu ya kifua wiki nzima.. We acha tu

mkuu kimbe tangu miaka ya 80 hayamambo yalikuwepo?
 
Mimi niliyesoma shamba sijui gari la nyonya damu,kwanza miaka ile kwetu kuona gari labda mara moja kwa mwezi au uamke asubuhi mapema sana saa 11 ndio utakutana na gari la abiria enzi hizo Toyota lenye uwazi nyuma.

Ila nakumbuka kulikuwa kukipita gari la Jeifung (Jeifungo) Tulikuwa tu tukikimbia sana maana tulikuwa tukisikia kuwa linabeba watoto na kuwaiba.

Jeifang.
 
Enzi hizo niko Mabawa Primary Schook Tanga ilikuwa ni shida kwa kweli

Tulikuja Tanga Kupima lile jengo la bandari karibu na kona ya kwenda bombo, basi vile vifaa kama theodolite vinakaa katika vile vitu kama magudulia mekundu, basi weee, ilikuwa balaa wananchi wakiona ni mbio balaa wakituita Mumiani, mara oo ametumwa na msekwa yani ilikuwa ni balaa.
 
Enzi hizo nilikuwa Mdote Primary School Muheza Tanga, nilitokea dirishani halafu nikatoka nduki mpaka vichakani. Wanafunzi wote tulipotelea vichakani mpaka ilipogongwa kengele kwa nguvu sana ndiyo tukarudi. Lakini wengine hawakurudi kabisa wakaenda zao nyumbani kwa hofu ya kunyonywa damu.
 
Tulikuja Tanga Kupima lile jengo la bandari karibu na kona ya kwenda bombo, basi vile vifaa kama theodolite vinakaa katika vile vitu kama magudulia mekundu, basi weee, ilikuwa balaa wananchi wakiona ni mbio balaa wakituita Mumiani, mara oo ametumwa na msekwa yani ilikuwa ni balaa.

Nyie mlichangia kutisha watu. Nadhani hii issue ni kama ile popobawa
 
Back
Top Bottom