cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,613
- 137,358
unacheka nn sasa? Au nasema uongo mzee wa frog?
unacheka nn sasa? Au nasema uongo mzee wa frog?
Mjerumani wa Jf katika ubora wako 😀😀😀Mtalinganisha sijui Mjapani na Mjerumani mpaka mtabonyea , lakini ukweli mnajua moyoni kwamba Gari za Ulaya na za Mjapan ,kwa maana mnaona wenye nazo Garage zao huwa Gari za kutoka wapi zinapaki. Tunaona mabilionea na watu maarufu Duniani kote ni Gari gani wanazotamba nazo, sijawahi kuona Toyota mimi kwa hawa watu.. ukiendesha Gari ya mjerumani sidhani Kama utawaza kuendesha Gari ya mjapan tena. Ni wachache mno walioweza kuchomoka kwenye hilo, hila naamini wengi walio kwenye Toyota wanatamani kukalia kiti cha Mjerumani.. Kama unabisha hilo jaribu uone . Kaa kwenye Crown ya mwaka 2010 halafu kaa kwenye bmw ya mwaka 2004 tuu leta mrejesho , Wazungu awakosei jamani..
Hizo toyota century mnamiliki wangapi hapa bongo?Hiyo nakupa kabisa Toyota century tena ya mwaka 1997 kwa hiyo C 2003
Unazo waona nazo wabongo zipo katika level ya uchumi wao. Kilicho juu ya uchumi wao hawakiwezi. Kabla ya kununua gari lazima uchuje vitu vingi. Kuna Vitz zina bei sawa na BMW wanazomiliki machalii hapa bongo.. ila mtu anachukua zake tu Vitz anatulia, sio kwamba asingeweza nunua BMW ila mahesabu yake yamekataa.. kuiga kunya kwa tembo wengine hawatakiHizo toyota century mnamiliki wangapi hapa bongo?
Zaidi nawaona kwenye raum, sienta, spacio n.k
Mbona sizioni barabarani? Kidogo naziona progress, brevis na crown.
Story za vijiweni hizo. Mnajazana ujinga na hypes.Hiyo engine ya 2JZ-GTE kutokana na mkataba ndio maana waliiminya kuachia nguvu yote na hiyo ilitokana mkataba. Wazungu wana fitina sana
Mie nakaa na mkatba kama nani.. jipitie link hapo chini mkuuStory za vijiweni hizo. Mnajazana ujinga na hypes.
Onesha huo mkataba, unahusu nini, unasemaje, kwa malengo gani?
Hiyo engine unaikuza tu. Haina uspecial wowote.
Kuna mwenzako aliita Aristo yenye hiyo engine performance car. Kwamba ameilinganisha na 911 turbo S.
Ni kwamba toyota ni sub standard cars.Toyota ukiwa na laki moja unaipigisha service ya kutisha sana..
Gari zilikuwepo kwa kazi hio, kina Celsior, Brevis, Progress na Lexus ES300 wote walikuwa wanakalisha!Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?
Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?
Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?
Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
Mjerumani wa Jf katika ubora wako
Mtalinganisha sijui Mjapani na Mjerumani mpaka mtabonyea , lakini ukweli mnajua moyoni kwamba Gari za Ulaya na za Mjapan ,kwa maana mnaona wenye nazo Garage zao huwa Gari za kutoka wapi zinapaki. Tunaona mabilionea na watu maarufu Duniani kote ni Gari gani wanazotamba nazo, sijawahi kuona Toyota mimi kwa hawa watu.. ukiendesha Gari ya mjerumani sidhani Kama utawaza kuendesha Gari ya mjapan tena. Ni wachache mno walioweza kuchomoka kwenye hilo, hila naamini wengi walio kwenye Toyota wanatamani kukalia kiti cha Mjerumani.. Kama unabisha hilo jaribu uone . Kaa kwenye Crown ya mwaka 2010 halafu kaa kwenye bmw ya mwaka 2004 tuu leta mrejesho , Wazungu awakosei jamani..
Wazee kama nyie wenye hekima zenu, ndio mnaeleweka sasa. Mnajua vitu
Wazungu wameshatengeneza gari zinachomoka kuliko hiyo skyline. Au unaposema "wanaitamani" unamaanisha nini?Ila vipi mziki Skyline GTR upoje ? nafatilia fatilia inaoneka ni chombo moja hadi leo wazungu wanaitamani
Matajiri huwa wanakuwa na gari nyingi nyingi, na maskini vipi ? Alafu hapa ligi ni mjerumani na mjapan. Usilete na England, Italiano, India na USA.. mbona mnaunganisha nguvu Vs mjapan peke yake au mmesanda tayari ? Kuna legue yenu tuna wandalia Mjerumani vs Muingereza .. subirni kwanzaNdio ukweli huo sijawahi kuona Mabilionea wana show off na hizo Toyota, tunaona tu Benz G wagon, Bwm , RR , na nyingi za Ulaya.. labda Dubai ndio tunaona mwarabu tena jangwani anafanyia mbwembwe huko,hizo Toyota .. , tuwe wakweli mioyoni kwetu hata huko Japani wenye nazo utaona wanasukuma Mjeruman, nionyeshe tajiri yoyote Japan asikuwa na gari ya Ulaya., kuanzia Waziri Mkuu wao mpaka mabilione wao wanasukuma Germany mashine.., na kwao ndio Kiwanda cha Toyota kilizaliwa.
Mtandaoni unaambiwa gari new model.Kwani wabongo mnamiliki Crown latest?? Au latest kwako ni ya miaka kumi iliyopita
Wapo mkuu, wanaweza kuwa sio wengi ila wapo sababu kuna visuzuki jimny vipya naviona road na rav 4 ya 2020 ile pia iko road hapa bongo. Achilia Landcruisers ambazo ndio common zaidi.Wangapi wanaendesha Toyota Brand New Tz ukiacha serikali?
Aah! Hata mimi napenda sana Ferrari , Astorn Martin, Bentley kidogo na RR.. haina shida.Wazungu wameshatengeneza gari zinachomoka kuliko hiyo skyline. Au unaposema "wanaitamani" unamaanisha nini?
Naipenda Nissan GTR Nismo.
Ndo gari pekee Japan naimezea mate.
Wajerumani ni shidaaa 😀😀😀Wapo mkuu, wanaweza kuwa sio wengi ila wapo sababu kuna visuzuki jimny vipya naviona road na rav 4 ya 2020 ile pia iko road hapa bongo.
Matajiri huwa wanakuwa na gari nyingi nyingi, na maskini vipi ? Alafu hapa ligi ni mjerumani na mjapan. Usilete na England, Italiano, India na USA.. mbona mnaunganisha nguvu Vs mjapan peke yake au mmesanda tayari ? Kuna legue yenu tuna wandalia Mjerumani vs Muingereza .. subirni kwanza
Acha kabisa, hio wazungu wanasema Big Mexican Woman, yaani toto flani hivi la kilatino, nikisema latina nimeeleweka mkuu
au Big Money Works
au
Brings Me Women
au
Broke My Wallet.