USHAURI: Mambo 10 Yatakayofanya Gari yako Idumu na Ibaki kwenye Ubora

Ibnuyawar

Member
May 6, 2020
49
149
Habari wana Jf

Zingatia haya kabla hujaamua kumiliki gari, au kama una gari basi endelea kuyazingatia yafuatayo ili pesa uliyotumia kuagizia gari yako isipungue kwa kasi.

1. Fanya Service/Matengenezo madogo na makubwa ndani ya mda. Matengenezo madogo namaanisha kubadiri oil ya injini na gia box ndani ya mda, kusafisha chekeche la hewa na ukaguzi wa mfumo wa breki. Matengenezo makubwa hujumuisha hayo madogo na vitu kama kubadiri shock ups, bearings, joints, bush, au kitu chochote kinachohitaji mabadiriko kwenye gari lako. Ukiweza kufanya hivi, gari yako itabaki kwenye ubora wake siku zote na itakuepusha na madhara makubwa zaidi yanayoweza kukugharimu fedha na hata uhai kwa kuchelewa kushughulikia matatizo haya ndani ya mda.

2. Kagua gari yako kila asubuhi kabla ya kuanza safari. Ukaguzi unaosemwa hapa ni wa vitu kama kiwango cha oil ya injini na gia box, maji ya katika rejeta, upepa na nati za matairi na taa zote za break na kubwa. Iwapo oil imepungua kutokana na kuvuja kwa baada ya gari kujigonga kwenye sample katika mashimo tunayopita, utapata nafasi ya kuchukua hatua stahiki, kama nati zililegea utapata wasaa wa kuzikaza, iwapo taa zitakua hazifanyi kazi utaweza kuzibadirisha na hivyo kukuwezesha kufanya mawasiliano mazuri na watumiaji wengine wa barabara hivyo kukuepusha na ajali n.k Imekua ni kawaida ya sisi watanzania tulio wengi kuhisi kwamba gari jipya halihitaji ukaguzi wa mara kwa mara na hivyo tunajiweka kwenye hatari pasipo sisi wenyewe kujua ambayo inaweza kugharim pesa na hata uhai wa mtumiaji na watumiaji wengine wa barabara.

3. Usipite kwa mwendo kasi njia yenye mashimo. Kuna ka utamaduni kanajengeka sana kwa baadhi ya sisi watanzania tunaotumia vyombo vya moto kutaka kukimbia hata sehem ambazo ni za kwenda mwendo wa kawaida tu, mwingine anapita njia ya vumbi kwa mwendo mkali bila kujua analegeza bodi pamoja na vifaa vingine katika gari yake kwa sababu ya mtikisiko mkubwa unaokuwepo garini humo. Hii ni sawa sawa na unapomuazima mtu leo gari akae nalo siku 2 lakini anaporejesha unakuta imekua tofauti sana, vivyo hivyo hata kama wewe hutumii chombo hichokwa ustaarabu basi uwezekano wa kukiharibu ni mkubwa na hivyo waweza kulazimika kuingia gharama ambazo hukuzipanga na mwishowe inaweza kufanya gari yako ionekane mbovu na kushushwa thamani.

4. Usafi wa gari yako ni muhim. Mwonekano nadhifu wa ndani na nje ya chombo chako hufanya thamani yake isishuke kwa kasi tofauti na mtu ambae hasafishi gari yake mara kwa mara, lakini pia kwa waopita njia zenye tope, unapochelewa kusafisha matope chini ya gari yanayonasa kwenye mabati, kuna uwezekano mkubwa gari yako ikashika kutu na hivyo kuharibu maeneo husika. Lakini pia ni muhimu ukajitahidi kutoshusha vioo mara kwa mara ili vumbi lisiingie ndani na kuchafua roof, dashboard, pamoja na njia za AC, iwapo matundu ya AC yatachafuliwa kuna uwezekano mkubwa sana gari yako ikashushwa thamani wakati unahitaji kuuza....binafsi ninayekuandikia hapa, niliuza gari nilotumia kwa miaka 5 kwa bei sawa na niliyonunulia kwa sababu tu ilikutwa iko vizuri kila kitu ila AC na usafi wa Dashboard ulimpa mteja yule amani ya moyo kwamba gari imetunza vizuri.

5. Egesha gari sehem zenye usalama na nafasi ya kutosha. Kwa wakazi wa Dar es Salaam, parking imekua ni changamoto na mara nyingi tunalazimika kuegesha magari kwa kusogeleana sana, madhara yake ni kwamba unapoegesha gari kwenye kona nyembamba au eneo ambalo gari zinasogeleana sana uwezekano wa kukwanguliwa na madereva wengine ni mkubwa. Iwapo gari yako itakwanguliwa mara kwa mara itakulazim kupiga rangi mara kwa mara na ikifika kipindi unataka kuuza mnunuaji ataona gari imepigwa sana rangi hivyo ataishusha thamani kwa kigezo hicho.

6. Weka mafuta kutoka vituo vya mafuta na uchukue risiti. Hii ni njia moja wapo ya kuikinga injini yako na wauzaji wa mafuta wa reja reja wasio waaminifu ambao hununua mafuta na kuyachanganya ili wajipatie faida zaidi na hivyo kuiweka gari yako katika hatari ya kuharibu injini. Jambo hili kwa miji kama Dar es Salaam limepungua sana siku hizi ikilinganishwa na baadhi ya mikoa ambapo wakati mwinginevituo vya mafuta viko mbali hivyo kuwalazim watu binafsi kulangua mafuta na kuyauza reja reja, madhara yake pia yanaweza kua kwenye uchafu unatuama katika madumu hayo ambao unaweza kudhuru pampu au chekeche la tank kuziba.

7. Usizoee kumuachia gari mtu mwingine. Hii ni kwa sababu kila mtu ana utunzaji wake wa chombo, yawezekana kukawa kumetokea tatizo asije kukwambia kwa kuhofia kua utamchukulia kama muharibifu, lakini pia iwapo mtu huyu atapata ajali kama ni gari binafsi, kampuni za bima wanaweza kuamua kutokukulipa kwa kua sheria haimtambui mtu uliyemuazimisha gari, hua wanalipa katika kudumisha uhusiano mwema na wateja wao.

8. Jizoeshe kutobeba watu au mzigo kubwa kupita uwezo wa gari. Kila gari imewekewa kiwango cha uzito ambao unapendekezwa kubeba, inapotokea mzigo ni mkubwa zaidi unadhuru mfupo wa shock up, balance inakua sio nzuri barabarani na pia inakulazim kutumia mafuta zaidi kwa kua gari inakua nzito.

9. Kanyaga mafuta taratibu huku ukiacha gari yako ichanganye yenyewe. Hii ni kwa wale wanaoamini mbio inamfikisha haraka aendako, mtu anakamua gari kwa mfano katika jiji la Dar es Salaam ambalo lina changamoto ya foleni za hapa na pale akienda hatua chache mbele unamkuta kasimama wala hakuna alichowahi, bila kujua unakua unajiumiza kwenye matumizi ya mafuta, unapokanyaga mafuta na mshale wa RPM ikanyanyuka sana ndivyo ambavyo ulaji wa mafuta hufanyika kwa kasi pia. Sehem ya kutumia lita 10, utajikuta umetumia lita 15 au zaidi na hivyo kukufanya uone gari yako inakula sana mafuta kumbe gari haina tatizo isipokua tatizo ni namna unavyokanyaga.

10.NJOO UNUNUE SPARE KWANGU
 
Una spea za mazda nataka Knock sensor ya Demio
 
Subiria ninunue kwanza gari ndio nitakuja soma hii post kisha nitakucheki tuyabomoe ala tuyajenge!
 
Madini tupu yani,,

Naam Bandiko Bora kbs kuwahi kutokea.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naongezea hapo kwenye namba 2,kagua taa za gari kama zinawaka hasa za nyuma,unakuta mtu ana gari kali balaa lakini nyuma taa inawaka moja au zote haziwaki...
 
Back
Top Bottom