Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Hivi haja ikinyonywa na hayo magari huwa inakuwa na rangi hiyo, ile soakaway pit ndio inayonyonywa , normally maji yanakuwa na rangi nyingine si hio ya kinyesi kabisa fresh, huyu aulizwe alipoitoa hiyo haja mpaka ikafungua koki.
 
Hapo sasa ndio upo nyuma ya hilo tanker kwenye foleni na gari yako haina AC,mbona utaipenda:D
 
Kufa kufaana hapo,kijibarua cha siku kishawanufaisha vijana kupitia manispaa,nyie chekeni lakini kuna watu fursa ya watu kupata pesa hapo
 
Back
Top Bottom