Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.

- Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.

kama buguruni ehh mabwawa ya
 
Mpiga nyoka alikuwa kishajidunga 'cha kisimiri' akajua mafuta.

Hayo mavi fresh kabisa alafu ya watu wa Kimara kama sikosei!
 
Hamna mateja siku izi wanafungua koki za haya magari makubwa, na kuondoka nazo, nimeshuhudia, mie mwenyewe kwa macho yangu, kibaka, pale buguruni chama, gari likiwa kwenye foleni, akifungua mfuniko wa tank la kuhifadhia mafuta, bahati nzuri, gari likawa linaondoka, akuweza kufanikiwa yule kibaka, hii ndio bongo bhana, akili mukichwa!!
 
Back
Top Bottom