Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

hapana kwa kweli nikiwazaga wanapotoka moyo unagoma kupokea
Na kuku wa kienyeji huli ? Hawa ukiwakuta wanashambulia kinyesi cha binadamu hutakaa umle, na sato wa Ziwani huli ? Maana ukifa maji wale ndio wageni wako, na mchicha wa sokoni huli ? maana ukiona maji yanayomwagilia utatoa machozi nk. nk nk
 
Na kuku wa kienyeji huli ? Hawa ukiwakuta wanashambulia kinyesi cha binadamu hutakaa umle, na sato wa Ziwani huli ? Maana ukifa maji wale ndio wageni wako, na mchicha wa sokoni huli ? maana ukiona maji yanayomwagilia utatoa machozi nk. nk nk
wewe mputa basi nimekuelewa
 
Usijali baby ukiwa na mimi ni mwendo wa burger,pizza,eat some more,azam cola, na vidude vingine Vitam Vitamuuuu [emoji39]
[emoji490] [emoji491] [emoji492] [emoji494] [emoji493] [emoji496] [emoji497] [emoji489] [emoji488] [emoji498] [emoji499] [emoji500] [emoji501] [emoji503] [emoji504] [emoji511] [emoji507] [emoji506] [emoji509] [emoji512] [emoji513] [emoji511] [emoji514] [emoji515] [emoji519] [emoji520] [emoji521] [emoji527] [emoji526] [emoji525] [emoji524] [emoji523] [emoji522] [emoji517] [emoji530] [emoji528] [emoji529] [emoji531]
Naomba unipe nafasi katika moyo wako miss chagga sina amani mwenzio.
jina lako lamtisha mwenzio
 
Hao walijua ni MAFUTA,kwani Hawajasoma Kwamba MAJI TAKA? Yale ya Mafuta si yamendikwa kabisa INFLAMMABLE?
 
Kuna wale watoto wanaoiba mafuta kwenye oil tankers zinapokuwa kwenye foleni. nahisi huyo alikosea akidhani ni la mafuta...
 
UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.

- Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.

ohooo hatarii
 
Wahuni walijua petrol nn,Ulikaa engo gani wakati inapiga hiyo picha
 
Harufu yake + jua kali + joto la dar + mifuko mitupu, dah si unatamani uondoke kwenye uso wa dunia
 
Back
Top Bottom