Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Hilo gari lina muonekano Wa upya ndio maana wapifaji wakaingia mkenge.. Na hata hivyo wamezoeshwa kuiba na madereva wake huwa wanachekelea tu ..
 
Tuliopata kuishi along Mandela Rd hatuwezi kushangaa kuona koki imefunguliwa! Hapo mateja itakuwa walidhani ni kitu cha wese hicho kumbe kitu cha gogo mix....
 
Aliyesema bara giza hakukosea, nchi imejaa poyoyo kupita kiasi.
 
Hzi kiki za sikuhiz ashindwi mtu kujitokeza akasema YeYe ndo Yule kinYesi chao kilifunguliwa ubungo kikatangazwa mpk JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkiambiwa bongo vichaa wengi kuliko watu wazima mnabisha.. hii nchi ina matatizo makubwa sana, huyu ngosha muache ainyooshe tu.hamna namna tena.
 
U made my day..yaani nimecheka hateri sipati picha inakuwaje ndo mwenyewe unadrive gari na uko nyuma ya hilo tanker afu wazee wa kufungua koki wapakue mafuta wakakuta ni mizigo tofauti daaah......
kwa kawaida kama ni mafuta wale mateja hufungua kisha wanachukua mafuta na baadae wanaifunga koki kama kawaiada, ninacho kiona hapa walipo fungua na kukuta ni uharo watakua walikimbia utadhani vibaka wamevamiwa na police.. haaa
 
Back
Top Bottom