Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Huyo mpuuzi aliyefikiri ni mafuta si angefunga sasa baada kuona kilichomo ni tofauti khaa....!
 
Nashauri hizi "Loki" za haya magari ziwe zinafungwa na kufuli ili isiwe rahisi kwa mtu asiyehusika kufungua hovyo hovyo tu! Kama ilivyotokea kufunguliwa hapo barabarani.
 
Hzi kiki za sikuhiz ashindwi mtu kujitokeza akasema YeYe ndo Yule kinYesi chao kilifunguliwa ubungo kikatangazwa mpk JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 kiki zina utamu wake unakua famous ndani ya lisaa
 
Back
Top Bottom