Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.

- Kwa mujibu wa chanzo kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.

de0b26fd-5377-495c-adde-17a4bb04cb85.jpg
C2XLkNqXEAAp0Ti.jpg


 
Back
Top Bottom