Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

Nadhani wanaweka alama za flyover. Hahahaaaaaa! Hatari sana
 
Itakuwa kuna mtu kashindwa ubishi wa mpira. Maana siku hizi nayasikia sana hayo kwenye vijiwe vya mpira 'akifunga yule ntamimina nnya hapa na Buguruni' Sasa jamaa yetu katimiza ahadi
 
kuna haja ya magari haya kuwekwa SEAL baada ya kupakia mzigo, kama magari ya mafuta. Wahusika sikieni hili. Hapa serikali ingepata kipato kwa tozo la faini ya mazingira.
 
UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.

- Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.


Nyoka hao! Walijua wese. Hata kunusa wameshindwa![emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Hivi vinyesi vinavyotoka kwenye chemba wameona havitoshi mpaka wanaamua kumwaga barabarani mubashara?!!!
 
UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.

- Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.



Watakuwa wanaume wa dar hao na kupenda harufu ya kinyesi (joking banaa)!
 
Watuumiwa wakishughulikiwa bila huruma tutadai eti hoo haki hakuna!
Pumbavu zao waliofungua ikibidi watafutwe .
 
Back
Top Bottom