choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
Hahaha Itakua wahuni walijua mafuta?
Nipe jibu moja tu LA kimahaba na Roho yangu ipone..then nitafanya utakavyo miss chagga wangu[emoji7]badilisha majina ya hati ya viwanja nipe mimi we baki na hiyo pesa
nakupenda pia baby wangu ..baby hivyo viwanja ungeandika jina langu tu i real real love uNipe jibu moja tu LA kimahaba na Roho yangu ipone..then nitafanya utakavyo miss chagga wangu[emoji7]
\Gari la Maji taka likiwa linamwaga Maji taka mataa ya Ubungo haikufahamika mara moja kama ilitokea itilafu au laah!
kampni hiyo ipigwe faini ya maanaGari la Maji taka likiwa linamwaga Maji taka mataa ya Ubungo haikufahamika mara moja kama ilitokea itilafu au laah!
Sasa siunge subiri upate chanzo cha kumwaga hayo magogo barabarani, ndipo ukuje na habari kamili....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Gari la Maji taka likiwa linamwaga Maji taka mataa ya Ubungo haikufahamika mara moja kama ilitokea itilafu au laah!
Umetaja vyakula vya daslam mubashara...[emoji12] [emoji12]Hiyo harufu itakayokuwepo hapo utadhani sio vile vitu vitamu tunavyokula,chipsi,mayai,kuku...
Hapana mkuu....Walijua ni tanker la mafuta?!!!
Itakuwa wapiga nyoka walijua wese.
Hatari sana hii.....[emoji23] [emoji23]haa haa haaa wahuni sio watu wazurii
Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]ha ha hapana mkuu halafu ujue hayo ndiyo huzalishaga kambale ndiyo maana me siwalagi
Mkuu....Nathani kuna mtu itakuwa ameifungua..kuna wale jamaa wanaofunguafungua kuiba mafuta yaliyobaki itakuwa wamebugi hapo
ndiyoToba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa hivi vituko vya Tanzania mtu ukinuna basi utakuwa mgonjwa
Get valve hazitumiki kwenye vitu vya aina hii.Mzigo unaelekea ulikuwa mzito sana na gesi nyingi hadi get valve ikashinda kuhimili kishundo!
Kumbe ndio maana hadi huu uzi unatoa harufu ya kile kilicho funguliwa pale.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ahh nimesikia harufu hadi huku
Hatari sana hii.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ahahaaaa hii nchi ina vituko jamani
Walijua ni tanker la mafuta?!!!
Watafunga tu mkuu.sijui mtu anafungaje hapo