Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,655
- 112,563
Hatari sana hii....Duh!noma sana.
Hatari sana hii....Duh!noma sana.
Unataka kujua lilipokuwa linatokea ili iweje mkuu mambo ndio yashamwagika hayazoleki tenaDah, lini hii na lilikuwa linatokea upande gani?
Mbona koki ipo parallel na pipe, inaonyesha ilifunguliwa
Upo sahihi mkuu, sababu huu ni uzembe uliopita kiwango cha lami....[emoji16] [emoji16] [emoji16]\
kampni hiyo ipigwe faini ya maana
Mkuu....ndiyo
ha haha we ndiyo mchocheziMkuu....
Huu ni uchochezi aiseeee..
[emoji15][emoji15][emoji15]UBUNGO, DAR: Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza gari la kubebea maji taka lamwaga maji yanayodhaniwa kuwa ni ya kinyesi katika eneo lililokaribu na makutano ya barabara Ubungo.
- Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna watu wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo kwa malengo yasiyofahamika.
Iiii auwiiiiiiii yeuwjiiiiiiii auwiiiii mbavu zangu Mie jamanweka harufu