Game Theory, FMESS

wakuuu wapo sana..sema naona wameamua kuchill kidogo..

those days ilikuwa moto...Waandishi wote wa habari walikuwa wanachukua news hapa..

All in all tuendelee kumkoma Nyani Giladi Mchana kweupe!
 
Yes hawa wakuu kama unawafahamu lazima uwamiss. Kuna mwingine ambaye alikuwa very famous kwenye issues za relationships. Very controversial but also interesting, huyu anaitwa Kanakansungu-where are you mkuu? Please rudini kama mnatusoma tunawahitaji sana.
 
Hawa mbona wapo tu mkuu? FMES tena yupo sanaaa hapa...but kivingine, aliingia mitini baada ya issue yake USD 300 na dilli za kutafutia kazi watu majuu...so hii ID kaisusa kiaina but he is here.....! GT is here sana, naye kivingine......!

Watu walioadimika ni kama BLUE RAY/KUHANI et al!
 
Nipisheni ninywe CHAI mm, Mnataka watu au Post vipi nyinyi? Mtawafanya watu wajione miungu mtu humu JF kwani bila wao JF si ipo tu na kama kuna tatizo tutachangia
 
Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse.

Kitila

Yaani GT ni mmoja wa watu walionifanya niipende na kujiunga na JF 2008, jamaa alikuwa anauwezo wa kusimamia hoja yake hata kama forum nzima mkipinga, mara nyingi alikuwa akija na mitazamo tofauti na ya walio wengi, naamini angeendelea kuwepo baadhi ya mambo ya kijinga jinga yanayojadiliwa JF siku hizi yangepunguwa, manake sasa JF imekuwa kijiwe cha "kuchati" zaidi!
 
Hawa mbona wapo tu mkuu? FMES tena yupo sanaaa hapa...but kivingine, aliingia mitini baada ya issue yake USD 300 na dilli za kutafutia kazi watu majuu...so hii ID kaisusa kiaina but he is here.....! GT is here sana, naye kivingine......!

Watu walioadimika ni kama BLUE RAY/KUHANI et al!
bwa ha ha ha ha ha ha ha ha
 
kwanini wabadili ID lakini? tunamiss michango yao sana

Logically, kama wamebadili ID michango yao unaipata. Utamiss michango yao kama hawachangii kabisa, either kwa ID zamani au mpya. Cha muhimu ni wewe kupata michango yao.
 
FMES= Fundi Mchundo, Uwiano Maalumu, Uwiano UsioMaalumu.

Bwahahaha!!!!!

Wapi Mambo Jambo aka MJ na NN na miss kelly baby?.
 
Kitila, ni kweli sio tu wewe unawamiss, JF is not the same without them, kwa upande wangu kama Mzee Mwanakijiji anapoamuaga kuchukua vakasheni, mijadala inakuwa not the same.
Hata Mzito, na yeye akipumzika one time jamvi linapwaya hahaha
 
FMES= Fundi Mchundo, Uwiano Maalumu, Uwiano UsioMaalumu.

Bwahahaha!!!!!

Wapi Mambo Jambo aka MJ na NN na miss kelly baby?.

Enzi hizo moto unawashwa na kumkoma nyani mchana kweupeeeeeeee, maslahi ya Taifa mbele chama nyuma; those were times in JF ambapo hutaki kumiss hata dakika moja, watu walikuwa wakesha JF.
 
Enzi hizo moto unawashwa na kumkoma nyani mchana kweupeeeeeeee, maslahi ya Taifa mbele chama nyuma; those were times in JF ambapo hutaki kumiss hata dakika moja, watu walikuwa wakesha JF.

Its true kiongozi, sasa hivi jamvi limeingiliwa na watu wanaopenda vitu vyepesi na laini laini, watu wenye tamaa na chuki, watu wasiokubali kutokukubalina bial vijembe, kashfa na matusi, watu wanaokata issues juu juu tuu kwenye issue muhimu za maslahi ya Taifa, watu wanaoweka vyama mbele Taifa nyuma.

Bado
 
Hivi mwanachama wa JF akifa tutajuaje kama hakuwahi kudisclose ID yake kwa mtu yeyote humu JF?
 
Sidhani kama wapo hawa kwa ID zingine. Tone zao zinajulikana tungeshawajua. Binafsi wameniudhi sana GT na FMES kwa kuchikichia hata wasituage sisi wenzao tulioanzisha hili jahazi 2006. Popote mlipo naombeni mni PM-nina message nzito sana. Hii nchi ni ya kwetu wote, hamuwezi kutususia. Kumbe mnamsusia nani?
 
Pole sana mkuu,

Labda utangaze dau kwa atakayempata. May be kesho vijana watachacharika na utawakuta mtaa maarufu Gerezani!!
 
Yaani GT ni mmoja wa watu walionifanya niipende na kujiunga na JF 2008, jamaa alikuwa anauwezo wa kusimamia hoja yake hata kama forum nzima mkipinga, mara nyingi alikuwa akija na mitazamo tofauti na ya walio wengi, naamini angeendelea kuwepo baadhi ya mambo ya kijinga jinga yanayojadiliwa JF siku hizi yangepunguwa, manake sasa JF imekuwa kijiwe cha "kuchati" zaidi!

Naweza kusema tupo wawili Game Theory ni moja kati ya walionivutia kujiunga kwa hoja zake na uwezo wa kutoa facts siku hizi JF imekuwa kijiwe tu. Field Marshall yupo nilimuona akicomment katika thread moja mwishoni mwa mwaka jana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom