Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,381
- 7,448
Urais nini kma sio mkuu wa chama? Si unavuliwa uanachama asee?.Sio kwa nafasi ya urais mzee, uchawa unaanza kukua kwako
Urais nini kma sio mkuu wa chama? Si unavuliwa uanachama asee?.Sio kwa nafasi ya urais mzee, uchawa unaanza kukua kwako
Ukute hata katiba hiki chama hakina, katiba ni kula ubwabwa🤣🤣Hawajasoma hata katiba ya chama
Naona ushoger wqkonunaniletea sasa... Fuvck uAcha ufala ndugu yangu, yn mtu mnampa nafasi ya kugombea urais afu unakuja kusema kugombea urais sio sawa na kupewa cheo, 😂 uchawa ndo unakuaga hv yn huoni baya kwenye chama chako ww n kusifia tuu
Acha ulofaKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Na huo mwezi ukiisha wanasiasa wengi watapotea hao G55😄😄😄mpaka Mwezi October ufike tutashuhudia mengi sana
Tuma salaam kwa watu watatuNaona ushoger wqkonunaniletea sasa... Fuvck u
Msajili hapo anaziba macho na masikioMsajiri vipi katiba ya Chauma imefuatwa na alikua anafanya mikutano mikuu chauma?
Msajili : Hao viongozi wamechaguliwa na kupigiwa kura na Mkutano mkuu wa Chaumma?Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Mkutano Mkuu wa CHAUMMA ndio umewapitisha muwe viongozi!!??Mbona maneno mengi? Mngewapuuza ndio ingekuwa effective kuliko hizi kele za wivu.
Amandla.
Kwendraa! Mxiuuuu!Mimi binafsi iwapo hakutakuwapo mgombea wa CHADEMA, nitapiga kura kwa mgombea wa CHAUMMA.
Naiunga mkono CHADEMA mara zote, ila pia sikupenda kumuachia nyani shamba la mahindi hata kama ananipa hasara
Napenda kukutaarifu kuwa huwa sijibu maswali ya kijinga.Mkutano Mkuu wa CHAUMMA ndio umewapitisha muwe viongozi!!??
🤣🤣🤣🤣Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.