Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,715
Lowasa alipewa fomu ya Urais😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Umeshangaa hilo?

Msajili anamsikiliza bebi wake Mchome tu wenyewe wanayamaliza wakiwa faragha huko MasakiMsajili tengua hizo teuzi, hazijakidhi vigezo vya katiba ya CHAUMA 😁
Ukiisha CHADEMA na kwa vyama vingine unaisha? CDM sio mama wa mtu!Uchaguzi wa ndani ya Chadema ulishaisha.
Comedy ya mwaka. Wala ubwabwa wameongezekaKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Watu wenye akili zenu ndio mliosababisha Afrika ikatawaliwa na wakoloni. So naiveWashapoteza uhalali wao kisiasa
Watu wenye akili zenu ndio mliosababisha Afrika ikatawaliwa na wakoloni. So naive
Hakunaga uhalali wa Kisiasa, it is all about personal gains, hakuna mwanasiasa asiye angalia maslahi yake...
Unadhani wewe ulimpa nini cha maana Lissu/Mnyika au Mbowe hadi apiganie maisha yako
Same thing waliyofanya Chadema walipompokea na kumpa agombee uraisi.😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Huko Chaumma wanapataje mlo maana wale wana njaa kuzidi fisiNdicho walicho kua wanakitaka sasa wamepata. Nilisema n bado nasema tena n tena hao ni WASAKA TONGE TU.
Kazi ni kipimo cha utu
Hii yote ni kukaribisha vurugu isiyokuwa ya lazima nchini.Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Usisahau msemo maarufu wa team Mbowe, ukishindwa hakuna kuhama chama.Hata ingekua kweli kuna dhambi gani? Kwani CHAUMA si chama cha upinzani pia au lazima iwe CDM?
KicheckoKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Kweli pesa mwana haramu!Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Hashim Rungwe Mzee wa wali naziKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Akidi ilitimia? Au tusubiri msajili atengue?Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi…. CHAUMA wapewe support wana maono!Usisahau msemo maarufu wa team Mbowe, ukishindwa hakuna kuhama chama.
Haibu kuu , ndo Afrika lakini😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Wape ni haki yako boss.Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi…. CHAUMA wapewe support wana maono!
Kupewa kugombe sio sawa na kuwa kiongozi mkubwa wa chama kama naibu katibu mkuu. Unafikiria kweli?Lowasa alipewa fomu ya Urais
Umeshangaa hilo?