Sasa lowasa utamfaninisha na salum mwalim?Mbona lowassa alipewa na tiketi yakugombea urais.Haujui

Mbona maneno mengi? Mngewapuuza ndio ingekuwa effective kuliko hizi kele za wivu.Hawa ndugu wamewaponza wenzao wa MIKOANI . Maana watakuwa wanauliza mbona hatumuoni mbowe?. Labda kama kuna mkutano mkuu mwingine wa kumkaribisha . Lakini pia usikute ujasusi huu ukawa ni mtego kwa jasusi mkuu . Kama tunaenda kuivunja chadema kumbe mission impossible
Katiba inampa uhuru kila Mtanzania kujiunga na dini atakayo au chama cha siasa atakacho au kutokuwa na chama au dini acheni utoto wajinga nyie hawajavunja katiba ya nchiMaana yake kabla ya hapo, chama hakikuwa na Makamu Mwenyekiti, Katibu wala manaibu makatibu Tanganyika na Zanzibar....
Na ikawaje, Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mtungi hakuwa anaona mapungufu ktk chama hiki..?
Na bila shaka hawajawahi kufanya hata vikao vya kikatiba tangu kuanzishwa kwake...!
Yet, bado Jaji Mtungi Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amekiacha tu chama hiki...!!
Sawa akiondoka jipigieni makofi kuwa washindi nyie si mlimshinda uchaguzi kwa nini tena mumuandame Mbowe aliyeshindwa uchaguzi wa kidemokrasia? Endeleeni uongozi mpya wajua kuendesha chama mwacheni Mbowe na kushindwa kwake uchaguziJamaa alikuwa ni kirusi cha CCM ndani ya CHADEMA. Afadhali kaondolewa na wenye chama.
Green pasture, (wamepata malisho ya kijani), kitu cha msingi ni kutunza kauli zaoKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Mwenyekiti kapewa nani? 😂Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Chama kina viongozi tu ila hakina wanachama,😂Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Nilitaka kumwambia hv hv 😂Mbona lowassa alipewa na tiketi yakugombea urais.Haujui
Hao viongozi wa chaumma waliojiuzulu bado n wanachama au wameondoka chamani?Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Mkuu umeandika maelezo mengi, hv umesoma kweli hy mada mbona kila kitu kimejieleza hapo.Maana yake kabla ya hapo, chama hakikuwa na Makamu Mwenyekiti, Katibu wala manaibu makatibu Tanganyika na Zanzibar....
Na ikawaje, Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mtungi hakuwa anaona mapungufu ktk chama hiki..?
Na bila shaka hawajawahi kufanya hata vikao vya kikatiba tangu kuanzishwa kwake...!
Yet, bado Jaji Mtungi Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amekiacha tu chama hiki...!!
Acha ufala ndugu yangu, yn mtu mnampa nafasi ya kugombea urais afu unakuja kusema kugombea urais sio sawa na kupewa cheo, 😂 uchawa ndo unakuaga hv yn huoni baya kwenye chama chako ww n kusifia tuuKugombea sio sawa na kupewa cheo.
Sio kwa nafasi ya urais mzee, uchawa unaanza kukua kwakoKugombea sio swa na kuwa kiongozi, unaweza ukapewa kugombea ukawa mshindi ila ukileta nyepesi ukavuliwa uanachama ukawa mwepesi.... Au haujui uzito wa mtu kuwa kiongozi wa chma aisee....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Angalau Sasa tumepata chama Cha upinzani Cha kweli sio Cha kifisadi naiona chadema yenye ushawishi Cha chadema ile ya Dr Slaa 2010-2015Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
strategy ya MH SITA na CCKHawa ndugu wamewaponza wenzao wa MIKOANI . Maana watakuwa wanauliza mbona hatumuoni mbowe?. Labda kama kuna mkutano mkuu mwingine wa kumkaribisha . Lakini pia usikute ujasusi huu ukawa ni mtego kwa jasusi mkuu . Kama tunaenda kuivunja chadema kumbe mission impossible
😹😹😹 Nvgjfgcunjihh oh hug chnfvvKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.