PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Ni mkakati eti wa kuiua cdm, na vyombo vya habari vinapewa posho kuhakikisha vinatangaza habari hizo ili kufanya ionekane cdm imekufa. Mahali wanachoka ni pale wanapoona mikutano ya NRNE inajaza watu wanazidi kupata shida. Uzuri wananchi nao wameshaamka, na wanapoona hizi press za kila siku ndio wanazidi kuamka kuwa kuna mpango nyuma ya pazia.
 
Niwashauri Chadema wawapuuze kabisa hawa kenge, wasiwajibu
Cdm hawatakiwi wawajibu kabisa hawa wasaka vyeo. Chama kimekuwa kikihujumiwa kwenye chaguzi, mbona hatujawahi kuona wakitoa press conference kama hizi? Sasa hivi kinachoendelea nakifananisha na mti kupukutisha majani, maana hicho ni kitendo cha kuhakiksha mti unabaki hai. Na vyombo vya habari vinapewa hela kuzipa airtime hizi press za wahuni.

Cdm wahakikishe wanarekebisha katiba yao, kusiwepo na kiongozi wa kukaa zaidi ya miaka 10, maana akikaa muda mrefu anatengeza watu wawe na imani kwakwe na sio kwa taasisi. Matokeo yake ndio haya, kiongozi kapigwa chini, wafuasi wake hawakubali.
 
Naona walevi wa bapa wanahangaika tu....wapitie kwenye forum kama hii JF....wapate mrejesho...itawasaidia..ila shida ni kwamba ukishakula hela ya mwanaume lazima uilipe
 
Waisemee Chauma si wameenda huko, mzee mdee anasoma upepo tuu.
Mkuu, ebu mpe heshima yake; hakujipeleka bungeni, bali amepelekwa; amejiunga na CDM kwenye tawi lake na huko ndiko atakako kwenda kutatua masuala yake ya kichama muda utakapo wadia; nadhani na wale wengine. Kwa sasa wanakamilisha shughuli za bunge.
 
Muda sio mrefu watasahaulika kbs kwenye siasa za Tz, nje ya chadema hao wote ni pimbi tuu!
 
Wakuu,

Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni fezea:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!

Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

Msiwapangie G55 namna ya kuzungumza huo ni UDIKTETA uchwara.Waacheni wazungumze wanavyotaka Cha msingi wasitukane na .wasidharirishe watu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hao wasaka tonge wanao jiita G55 kwa kuwa walishatoka CHADEMA, kwa njia ya kuvuliwa uanachama na kujivua wao wenyewe hawana haki ya kutumia alama za chama (nembo, rangi, nk.).
G55 bado wako chadema, wachache wamejitoa wengi wamebaki na wanaendelea kupinga No Election.
 
Wakuu,

Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni fezea:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!

Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

Chadema Temeke wamekanusha.

GqptM5zXQAAMohS.jpg
 
Hawa WAHUNI wanahangaika sana kama mitetea kutaga yai la kwanza.
 
Badala ya kuvuna heshima tunavuma matusi - Grace Kiwelo, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa kilimanjaro :pedroP:
 
Mkuu, ebu mpe heshima yake; hakujipeleka bungeni, bali amepelekwa; amejiunga na CDM kwenye tawi lake na huko ndiko atakako kwenda kutatua masuala yake ya kichama muda utakapo wadia; nadhani na wale wengine. Kwa sasa wanakamilisha shughuli za bunge.
Nilimpenda sana mzee Mdee, lakini nilipoona ni mwanasheria alafu chama kikikuvua uanachama bado unang'ang'ania, nikaona bora angesoma art kabisa.
Nikaona amenajisi fani ya sheria yake kabisa na kutojua wapi aitumie .
 
Inamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.
Waache kufanya press, wawaite watu wawaambie hayo wanayotaka yawafikie kupitia hizo media, wanajua watanzania washawaona ni machawa tu kama machawa wengine ndo maana wanaogopa kuitisha mikutano wanakazana na medias tuu
 
Hizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Mafuvu yamevulugwa, (akili zimehama), itachukua miezi 3-6 mafuvu kurudisha akili

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
 
Back
Top Bottom