PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaondoka acha waondoke kitu cha,msingi Tundu Lissu aachiwe huru ili kuwe na ushindani wa,hoja badala ya mabavu🤔
 
Kwa kasi ya viongozi wa chadema kuachia ngazi, mpaka kufikia uchaguzi mkuu kitakuwa having uongozi wowote mikoani.

Sisi wapambanaji wa chadema online tuwe makini, inaweza kuwa chama saiti hakipo sisi tunahangaika kuchoma bando
Jina lenyewe linataka kufananana kinem** utakua na akili wewe?
CHADEMA ipo mioyoni mwa watu lafa ww kwenda hatutaki nziii wala madili outtttt
 
Kwa kasi ya viongozi wa chadema kuachia ngazi, mpaka kufikia uchaguzi mkuu kitakuwa having uongozi wowote mikoani.

Sisi wapambanaji wa chadema online tuwe makini, inaweza kuwa chama saiti hakipo sisi tunahangaika kuchoma bando
Chama kimekosa muelekeo ajenda ni kuporomosha mitusi
 
hizi ni propaganda za ccm za kujipa matumaini. wanaondoka kweli lakini sio kwa kikubwa hivyo
chadema ni kama chuo cha siasa, ndio maana ccm inatoa pesa kuwarubuni na kuwanunua

wakiondoka viongozi, watakuja wengine vijana wenye hasira, morali na wapenda haki
 
🛑Mwisho wa Safari wa CHADEMA? Hali Tete Ndani ya CHADEMA Kufikia Juni 30, 2025: Viongozi wa Kanda na Wanachama Wakimbia Kwa Kasi

Mwanaharakati Huru Tanzania;

Katika siku za hivi karibuni, hali ya sintofahamu na mtikisiko wa kiuongozi ndani ya chadema imefikia kiwango cha juu kiasi cha kuibua hofu na maswali miongoni mwa wanachama, wanaharakati, na wachambuzi wa masuala ya kisiasa. Habari kutoka ndani ya vikao vya siri na taarifa za vyanzo mbalimbali zinaashiria kuwa kufikia Juni 30, 2025 chama hiki huenda kikawa kimepoteza uhai wake wa kisiasa kufuatia wimbi kubwa la wanachama na viongozi wa kanda kukihama.

Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, tayari baadhi ya viongozi wa ngazi za juu katika kanda mbalimbali wamekwisha andika barua za kujiondoa, huku wengine wakiwa katika hatua za mwisho za kujiunga na vyama vingine au kuanzisha harakati mpya za kisiasa. Hali hii inatokana na kile wanachokiita “kukosekana kwa mwelekeo, demokrasia ya ndani, na kutotambua mchango wa wanachama halisi.”

Wanachama wengi wanalalamikia kile walichokiita ufisadi wa kisiasa, ukandamizaji wa mawazo mbadala, na mwelekeo wa chama kuendeshwa kama mali binafsi ya watu wachache. Vuguvugu la mageuzi ya ndani ya chama lililokuwa limepigiwa chapuo mwaka jana sasa limegeuzwa kuwa kumbukumbu ya huzuni kwa wanaharakati waliokuwa na matumaini ya kweli ya mabadiliko.

“Hatukujiunga na chama kwa ajili ya watu binafsi, bali kwa ajili ya kusukuma mbele ajenda ya wananchi. Hali ilivyo sasa ni ya kusikitisha,” amesema mmoja wa viongozi wa zamani wa kanda, ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa sababu za kiusalama.

Vuguvugu hili la kuhama linaweza kupelekea chama kuingia kwenye hali ya kutoaminika miongoni mwa wananchi, hasa ikiwa hakuna hatua za haraka na za wazi zitakazochukuliwa kurejesha imani ya wanachama wa kawaida na wale wa ngazi za juu.

Wanaharakati na wachambuzi wa kisiasa wanatoa wito kwa uongozi wa juu wa chama kuacha siasa za ubinafsi na kuchukua hatua za kurejesha umoja, heshima ya wanachama, na kuelekeza nguvu katika masuala ya msingi yanayowakumba wananchi.

HITIMISHO:

Kama hali hii haitapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa dhati, basi si ajabu kwamba kufikia Juni 30, 2025 CHADEMA kitakuwa kimebakia historia tu. Huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya mustakabali wa chama na nchi. Wanachama wa kweli, wanaharakati na wapenda mageuzi wanahitaji kuamka sasa—kabla pazia halijafungwa kabisa.
Ni Chama pekee Cha siasa Dunia ambacho hakitaki kushika dola
 
Kwa kasi ya viongozi wa chadema kuachia ngazi, mpaka kufikia uchaguzi mkuu kitakuwa having uongozi wowote mikoani.

Sisi wapambanaji wa chadema online tuwe makini, inaweza kuwa chama saiti hakipo sisi tunahangaika kuchoma bando
Karibuni CCM huku hakuna waropokaji
 
Chadema wanasaidia nini?
hawasaidii kitu ila bei ya kulaza mtanzania mmoja pale muhimbili ni elfu 50000 kwa siku.
kufa kwa chadema kutasaidia nn kwenye kupunguza bei ya KITANDA KWA MLALA HOI PALE MUHIMBILI\\\/
NDO MANA MTIKILA ALIWAITA WATU WENYE AKILI KAMA ZA KWAKO MANYANI
NI UNYANI, KAMA KARNE YA 21 BADO UNASHANGILIA NCHI KUWA NA CHAMA KIMOJA? HUU NI UNYANI
 
Babeli ya Lumumba mbioni KUANGUKA!! EU yapiga jaramba na NYUNDO tani 20 ....sasa wanahanya ULIMI NJEE
Nasubiri kuona vijambo vya cheche kutoka akina Mushambaa,Choicee,Tilatilah,na nduguze Chiieembe na akina comtea.
 
Back
Top Bottom