PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!

Njaa tu hizo, halafu atakwambia mtu umpiganie mwanasiasa apate madaraka hali yenyewe ndio kama hii
 
Wakuu,

Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!

G55 wamempiku hadi Lema kwa mfululizo wa press conference? dah, maisha yanaenda kasi sana aise,

kweli G55 ni moto wa kuotea mbali na earthquake yao dah :pedroP:
 
Hawa pimbi kwanini wasiondoke kimya kimya tu kuliko kujidhalilisha kila uchwao?

Hapa ndipo inapodhihirika kwamba bila Chadema wanasahaulika ndani ya dakika chache hivyo wameona ili wasipotee kabisa angalau wawe wanaitisha press😆.
 
Kwa heshima yako fafanua mkuu

Weekend njema
Napata original black label hapa
G55 ni kundi lililoanzishwa na baadhi ya wabunge wa Tanganyika ndani ya Bunge la Muungano wakati wa Utawala wa hayati Mwinyi na kiongozi wa Hilo kundi alikuwa Mh Njelu Kasaka kutoka Jimbo la akina Lucas Mwashambwa

Hawa akina Mrema ni G55 wa mchongo 😁
 
Wakuu,

Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!

Anaedharau kambi pinzani ndani ya Chadema huenda alikuwa mkimbizi wa muda mrefu kwamba hajui ambayo yanaendelea nchii hii. CUF ilikufa kwa sura hiyo..CUF has become history, almost no more. The same,kwa movement hii ya G55 Chadema is on the same path through which CUF took to it's total death. A matter of time. Anaebisha kuwa CCM ni GIANT muda utatuambia.
 
Inamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.
Press ya Mdude haijafadhiliwa. Ila ya wanaotaka kujitoa Chadema, wamefadhiliwa sio? Kumbe wanachokisema wanaotoka ni kweli kwamba sasa hivi Chadema imejaa chuki, roho mbaya, visasi na ubinafsi! Na wote wenye akili wataondoka tu. Na usishangae hata Mnyika akaondoka maana sio aina ya siasa anayoijua!
 
Back
Top Bottom