Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,917
- 94,341
Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa duniani.
Mpaka pale Statesman Freeman Mbowe alipopewa fursa kama mwanafamilia kutowa Beno kukosowa wasifu ule ambao Kwa makusudi unanificha chapter muhimu ya maisha ya Mzee Lowasa.
Sasa tuliobaki hai tujifunze katika hili, wenye uwezo wa kuandija vitabu na waandije Sasa na wasiokuwa na iwezo huo basis tutunze historian zetu Kwa kuziandija wenyewe tusisubiri kuandikiwa na wanafki.
Mwisho wa ubaya aibu, haya Mzee wa Msoga leo umejisikiaje wanafamilia wanamwaga sifa na shukrani Kwa watu mbalimbali mpaka mama Samia hawana cha kumshukuru Kwa Upendo na wema wake, wewe mswahili wa Msoga hauna sehemu umetajwa jina je unajisikiaje leo? Unafki unalipa?
Labda kuna viumbe wameumbwa bila aibu, leo ni aibu Kubwa na fedhea kutoka boys to men mpaka mwisho wa safari ya swahiba Wako hakuna sehemu familia inakutambuwa Kwa lolote tangy auguwe, hii ni aibu Kubwa.
Tujifunze kuishi vizuri na watu na Kwa uaminifu, unafki ni Mbaya sana na mwisho wa ubaya ni aibu. Aibu yao hii baba Mkwele.
Cc: Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli