tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,626
- 979
Effective micro organisims.Em solution ni kitu gani mkuu?
Effective micro organisims.Em solution ni kitu gani mkuu?
Effective microorganismsEm solution ni kitu gani mkuu?
Em haina unasaba na mavi?Effective microorganisms
Sijui.Em haina unasaba na mavi?
Mana nafikiri ndicho kinachotumika kama catalyst katika kutengeneza hao funza.
Ubaya wake ni nini kiongozi?Sijui.
Ila mavi mabichi ni mabaya sana.
hufai kua mfugaji wewe....utaweza kweli kuzama kwenye mavi ya nguruwe au ngombe kutafuta funza wa kulisha kuku?Nitavomit balaa funza tenaaa
hiiEM (Effective Microorganisms) moja ya wasambazaji wachache kwa sasa (pengine wasambazaji pekee) ni kampuni inaitwa EMTEC ya ma Dr flani wa hapo UDSM. Ni tech ya kijapani oliyogunduliwa na Prof mmoja anaitwa Higer. Sina anwani zao ila I hope uki google utawakuta.
Nakubaliana na mleta mada kwamba funza ni bonge moja la protein source kwa mifugo hivyo ukipata njia reliable ya kuwazalisha kwa wingi basi ikumbatie.
Ko wawapa bila kuwa kausha mkuue bwana leo mwenzako nilienda machinjioni nikiwa na lengo la kupata uchafu wa tumboni wa ngombe ili niozeshe nipate hao funza bahati nzuri zaidi daktari wa mifugo pale machinjioni alinishauri nikaangalie kwenye pity la uchafu nione kama yatanifaa, ile kufunua tuu ilikua hatari ayo mafunza, aisee niliyakomba balaa kesho naenda tena,