Funza kwa ajili ya mifugo

Funza kwa ajili ya mifugo

USHAURI
Kaombe ushauri Idara ya veterinary pale SUA, Morogoro funza aina hiyo wanene wanaweza kusababisha kuku wasitage. muone Prof. Mdegela atakupa experience ya wakulima wa Njombe na ushauri.
Thanx kaka
 
Kwanza hujaanza kuwaza kuzalisha Funza jiule Je unawapenda funza?
Then sasa kama unawapenda mchakato ndo uanze.

Ila kama una eneo na umepakana ma majirani haifai, Funza wanataka eneo la pekee kabisa
 
Nina manual yakeya kuzalisha kwa ajili ya comercial, yaani unazalisha kwa ajili ya kuuzia viwanda vya kutengeneza chakula cha mifugo hasa kuku, Nguruwe na Samaki
 
Hawa funza watu wanakosea kuwalisha funza directly, wanatakiwa wachanganywe kwenye chakula chao
 
Ko wawapa bila kuwa kausha mkuu
yes kaka niliwaosha tuu vizuri na kuchanganya kwenye chakula kidogo then nikawapa walifurahia sana, leo nilienda pia japo sikupata wengi kama mara ya kwanza.
 
hawa
USHAURI
Kaombe ushauri Idara ya veterinary pale SUA, Morogoro funza aina hiyo wanene wanaweza kusababisha kuku wasitage. muone Prof. Mdegela atakupa experience ya wakulima wa Njombe na ushauri.

kiongozi hawa wangu sio wakubwa sana ni wawastani tuu, na sijajua bado kama wana madhara kwenye utagaji baadae.
 
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo … tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko – nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.
Nahitaji hiyo fumula ya kutengeza niko mbali
 
Tafuta dumu ulika tejuu au mtungi, ndaniyake weka maviyakuku yakutosha, juuya maviyakuku wekapumbaza mahindi za kutosha.Mwagiamajikwa sikumbili mbaka tatu. Pumzika siku ya nne kuangalie sikuyatano. Wawezakuta funzawa kutosha.
 
asante ila jajua maj wamwaga meng yawe topetope au!,?
 
USHAURI
Kaombe ushauri Idara ya veterinary pale SUA, Morogoro funza aina hiyo wanene wanaweza kusababisha kuku wasitage. muone Prof. Mdegela atakupa experience ya wakulima wa Njombe na ushauri.
Si kila kuku ni kwa ajili ya kutaga, wengine ni wa nyama, hivyo inategemeana na kuku ulionao.
 
Back
Top Bottom