Tanzania ni namba 2 Afrika kwa kuwa na mifugo mingi ila haichangii chochote kwenye uchumi. Serikali anzisheni tozo ya mifugo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Kwa miaka Mingi tumekiwa tunatakiwa takwimu za Tanzania Kuongoza Kwa Wingi wa mifugo Afrika kuanzia Ng'ombe Hadi kuku.

Ila pamoja na Wingi huo wa mifugo, Nchi hainufaiki kiasi Cha kutosha na mchango wake ni mdogo sana kwenye Mapato ya Serikali badala yake mifugo inaongoza Kwa kuharibu mazingira,vyanzo vya maji na.kuzakisha migogoro ya wakulima na wafugaji.

Inashabgaza watu wa Serikali Kushindwa kufikiria vyanzo vipya vya Mapato wakati mifugo ipo na wafugaji hawalipii Kodi yeyote ya maana na Wala hawana leseni za ufugaji.

Sasa Ili kuongeza Mapato ya Serikali na kuongeza mchango wa sekta ya mifugo kwenye Pato la Nchi napendekeza Serikali ianzishe tozo au ushuru wa mifugo yaani kuweka kiasi Fulani ambacho Kila mfugajo kuanzia wa kuku atalipia kulingana na idadi ya mifugo yake Kila mwaka.

Kila Ng'ombe akilipiwa 1,000,mbuzi/kondoo ,nguruwe 500 na Wanyama wengine wadogo wakiwemo ndege mfano kuku walipiwe 200 Kila Moja.

Tukienda hivyo tutapata pesa za kuboresha ufugaji.Mapafo mengi yanapatea huko Kwa wafugaji badala yake watu wanwakaba machinga,hii sio sawa.
 
Kwa miaka Mingi tumekiwa tunatakiwa takwimu za Tanzania Kuongoza Kwa Wingi wa mifugo Afrika kuanzia Ng'ombe Hadi kuku.

Ila pamoja na Wingi huo wa mifugo ,Nchi hainufaiki kiasi Cha kutosha na mchango wake ni mdogo sana kwenye Mapato ya Serikali badala yake mifugo inaongoza Kwa kuharibu mazingira,vyanzo vya maji na.kuzakisha migogoro ya wakulima na wafugaji.

Mifugo inalipiwa kodi vizuri sana na inachangia pesa nyingi sana katika uchumi.
Kila mfugo unaouzwa na kuchinjwa mnadani unalipiwa ushuru, vyakula vya mifugo vinalipiwa ushuru, maziwa na nyama mabuchani vinalipiwa kodi.
 
Mkuu hata wakianzisha hizo tozo hazitasaidia kitu. Tozo ngapi zimeanzishwa?
 
Mifugo inalipiwa kodi vizuri sana na inachangia pesa nyingi sana katika uchumi.
Kila mfugo unaouzwa na kuchinjwa mnadani unalipiwa ushuru, vyakula vya mifugo vinalipiwa ushuru, maziwa na nyama mabuchani vinalipiwa kodi.
Nashangaa anaposema mifugo haichangii uchumi

Maziwa kita mamilioni zinaùzwa kika siku na kodi kulipwa pia
 
Kwa miaka Mingi tumekiwa tunatakiwa takwimu za Tanzania Kuongoza Kwa Wingi wa mifugo Afrika kuanzia Ng'ombe Hadi kuku.

Ila pamoja na Wingi huo wa mifugo ,Nchi hainufaiki kiasi Cha kutosha na mchango wake ni mdogo sana kwenye Mapato ya Serikali badala yake mifugo inaongoza Kwa kuharibu mazingira,vyanzo vya maji na.kuzakisha migogoro ya wakulima na wafugaji.

Inashabgaza watu wa Serikali Kushindwa kufikiria vyanzo vipya vya Mapato wakati mifugo ipo na wafugaji hawalipii Kodi yeyote ya maana na Wala hawana leseni za ufugaji.

Sasa Ili kuongeza Mapato ya Serikali na kuongeza mchango wa sekta ya mifugo kwenye Pato la Nchi napendekeza Serikali ianzishe tozo au ushuru wa mifugo yaani kuweka kiasi Fulani ambacho Kila mfugajo kuanzia wa kuku atalipia kulingana na idadi ya mifugo yake Kila mwaka.

Kila Ng'ombe akilipiwa 1,000,mbuzi/kondoo ,nguruwe 500 na Wanyama wengine wadogo wakiwemo ndege mfano kuku walipiwe 200 Kila Moja.

Tukienda hivyo tutapata pesa za kuboresha ufugaji.Mapafo mengi yanapatea huko Kwa wafugaji badala yake watu wanwakaba machinga,hii sio sawa.
Unaowapa ushauri ndiyo wanafuga
 
Madini yanayochotwa na kupelekwa nje yanachangia nini cha maana, wakazie huko kwenye madini
 
Tozo sio suluhisho la kukuza uchumi.

Kinachopaswa kufanyika ni kuboresha hiyo sekta kwa kuongeza thamani ya hiyo mifugo kwa kutoa elimu na mazingira wezeshi.

Huwezi kufaidika na bidhaa kama soko halieleweki, serikali ni jukumu lake kuhakikisha linatafuta soko la uhakika tuka export nyama. Na kuchakata malighafi zingine kama ngozi/manyoya, mbolea, kwato kwa kuzalisha kitu kipya kabisa.

Hii nchi imebarikiwa sana tatizo ni akili tu.
 
Kila kitu mnawaza tozo.

Kwanini serekali isianzishe kampuni Tuipe jina TANBEEF, Iwe chini ya wizara ya mifugo.
Wakuze, wasimamie, wazalishe na kuuza bidhaa zote za mifugo nchini.
Itakua na faida lukuki.
1 . Ajira zitazalishwa.
2 . Mapato yatakusanywa kupitia mauzo ya malighafi.
3 . Itasaidia wafugaji kupata soko lao la uhakika kama watakua wanafuga kwa kufuata kanuni za hii TANBEEF.
4 . Kudhibiti uuzaji holela wa malighafi za mifugo na hii itapelekea magonjwa kutokomezwa sababu ili uuze lazima ukachukue mzigo kwa TANBEEF ambao umeshathibitishwa ubora wake.
 
Mifugo inalipiwa kodi vizuri sana na inachangia pesa nyingi sana katika uchumi.
Kila mfugo unaouzwa na kuchinjwa mnadani unalipiwa ushuru, vyakula vya mifugo vinalipiwa ushuru, maziwa na nyama mabuchani vinalipiwa kodi.
Ambayo haiji mnadani na kuuzwa kinyemela mitaani Je? Kuna mnada wa nguruwe na kuku?
 
Kila kitu mnawaza tozo.

Kwanini serekali isianzishe kampuni Tuipe jina TANBEEF, Iwe chini ya wizara ya mifugo.
Wakuze, wasimamie, wazalishe na kuuza bidhaa zote za mifugo nchini.
Itakua na faida lukuki.
1 . Ajira zitazalishwa.
2 . Mapato yatakusanywa kupitia mauzo ya malighafi.
3 . Itasaidia wafugaji kupata soko lao la uhakika kama watakua wanafuga kwa kufuata kanuni za hii TANBEEF.
4 . Kudhibiti uuzaji holela wa malighafi za mifugo na hii itapelekea magonjwa kutokomezwa sababu ili uuze lazima ukachukue mzigo kwa TANBEEF ambao umeshathibitishwa ubora wake.
Zipo hizo kampuni na hakuna Cha maana zinafanya.Serikali na Biashara wapi na wapi?
 
Tozo sio suluhisho la kukuza uchumi.

Kinachopaswa kufanyika ni kuboresha hiyo sekta kwa kuongeza thamani ya hiyo mifugo kwa kutoa elimu na mazingira wezeshi.

Huwezi kufaidika na bidhaa kama soko halieleweki, serikali ni jukumu lake kuhakikisha linatafuta soko la uhakika tuka export nyama. Na kuchakata malighafi zingine kama ngozi/manyoya, mbolea, kwato kwa kuzalisha kitu kipya kabisa.

Hii nchi imebarikiwa sana tatizo ni akili tu.
Pamoja na Hilo ila tozo ni muhimu
 
Back
Top Bottom