Habarini wapendwa je naweza kupata soko kwa ajili ya dagaa wachafu kwa chakula cha mifugo

May 14, 2023
23
9
Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni
 
Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni
Ingependeza ukaweka maelezo ya kutosha, uko wapi na unauza Bei Gani Kwa tani na pia ukaweka mawasiliano Yako hapa.
 
Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni
Mifugo ya kisasa inahitaji chakula kilochotengenezwa kitaalamu- ubora wa mchanganyiko ni muhimu sana. Unaposema Dagaa wachafu una maana gani? Wameoza? Wamevunda? Tatizo lao ni lipi?
 
Kwa majina naitwa Regan mkazi wa kibaha mji mkoa wa pwani ni wauzaji wa dagaa kwa ajili ya kula sasa tulikusanya mzigo mkubwa kawa ajili ya kuuza kwa bahati mbaya mvua ikanyesha zikaloana so hazifai kwa ajili ya matumizi ya watu bali kwa matumizi ya vyakula vya mfugo inafaa kama kuna mtu ana connection na kiwada cha chakula cha mifugo plz tupeane taarifa kwa maana hadi sasa tushakula loss ni kiasi kilichopo ni tan35 tunauza kilo ni 3500 napatikana kwa 0629201929 Asanten
 
Back
Top Bottom