Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
- Thread starter
- #41
umeona eeeh!Wewe lakini ndo nini sasa hii
anaharibu kila kitu.......
hii ni game watu8
umeona eeeh!Wewe lakini ndo nini sasa hii
nakuambia....Haaa haaa haaa
I like this game !
Apple:I look like a human heart.
Mango:I look like a stomach.
Grapes:I look like eyes.
Banana:I don't like this game..
teh teh tehhhhhhh....
cc. Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V, zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer..........:car:
you are welcome to look for itiVery very interesting male joke. Isn't there a female one?
hujafukuzwa, ila usichakachueKumbe kwenye huu mchezo picha haziruhusiwi...haya basi ngoja nikae pembeni
Jamani,hiyo si ni ndizi tu imesimamishwa kwenye boga...Wewe lakini ndo nini sasa hii
ha haaa, sorru for that....
nadhani hapa ni ndizi chumvi, lol!
ha haaa, hata siijuiau ndizi ng'ombe
Hili tunda linaitwaje mtani?
hujafukuzwa, ila usichakachue
hili nalo ni tunda?hili nalo linaitwaje...?
ha haaa, mtani bana..... hayaunajua mtani si nilishakwambia mimi na kidhungu hatupatani...sasa ulipoandika kwa kidhungu mimi nikawa hata sielewi elewi!!!
Baada ya kuangalia hii picha, sasa nahisi kwa nini banana alikataa hii kesi
ha haaa, nimewapenda walivyopishanisha miguu yao, lol!wewe unalionaje...? au haya nayo sio ?